Makamba: Tumpe JK "zawadi" kwa aliyoyafanya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamba: Tumpe JK "zawadi" kwa aliyoyafanya

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ilumine, Sep 16, 2010.

 1. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #1
  Sep 16, 2010
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninatazama hapa taarifa ktk ITV. Makamba anasema “kwa mambo mengi aliyoyafanya JK kwa miaka hiyo mitano, tumpe ZAWADI kwa kumchagua tena”
  Jamani eeee, hivi kumbe tunapomchagua Rais “tunatoa ZAWADI”?
  Basi, tuendelee kulitafakari hili, eti wenzetu wanahitaji zawadi zetu? Tena wanaombaomba namna hii? Sina mpango wa kumpa mtu zawadi ya mtindo huu mwaka huu. Kumbe ndio mchezo wao!! Wamekuwa wakipeana “posts” kama zawazi!!!! Fungueni macho!
   
Loading...