Elections 2010 Wafungwa walitumika kujenga jukwaa la jk, tarakea

MHANJO

Member
Sep 16, 2010
34
0
Wafungwa wa gereza la IBUKONI, wilaya ya ROMBO tarehe 13/09/2010, walitumika kujenga jukwaa alilotumia JK jana wakati akifanya mkutano 15/09/2010, katika shule ya msingi mbomai kati, TARAKEA , ROMBO MKOANI KILIMANJARO,
Hii ilisababisha wakazi wa tarakea wabaki na mshangao , kwani siku hiyo tarakea ilikuwa siku ya soko, na watu wengi walishuhudia tukia hili.

MAPENDEKEZO

  • Wanasheria wa chadema , angalieni jinsi mtakavyoshughulikia hili
  • CCM tafuteni risiti nyingine za kufoji , ambazo zinaonyesha , mmewalipa MAGEREZA WILAYA YA ROMBO, au MAGEREZA MKOA WA KILIMANJARO kwa ajili ya kazi hii ya kujenga jukwaa.
 
Wafungwa utumika kwenye shughuli za serikali na bila malipo! Sasa inakuwaje watumike kwenye shughuli za CCM kwa malipo? Basi na mimi nitawakodi waje kusafisha nyumba yangu?!!
 
Navyofahamu mimi jeshi la magereza huwa wanakodisha mahema na kujenga kama biashara nadhani walilipwa kwa kazi hiyo.
 
Wafungwa wa gereza la IBUKONI, wilaya ya ROMBO tarehe 13/09/2010, walitumika kujenga jukwaa alilotumia JK jana wakati akifanya mkutano 15/09/2010, katika shule ya msingi mbomai kati, TARAKEA , ROMBO MKOANI KILIMANJARO,
Hii ilisababisha wakazi wa tarakea wabaki na mshangao , kwani siku hiyo tarakea ilikuwa siku ya soko, na watu wengi walishuhudia tukia hili.

MAPENDEKEZO

  • Wanasheria wa chadema , angalieni jinsi mtakavyoshughulikia hili
  • CCM tafuteni risiti nyingine za kufoji , ambazo zinaonyesha , mmewalipa MAGEREZA WILAYA YA ROMBO, au MAGEREZA MKOA WA KILIMANJARO kwa ajili ya kazi hii ya kujenga jukwaa.

CCM sasa kweli ipo kwenye panic mode!
 
aisee, aisee, aisee...kila kona ya Tz watu wanaamka sasa....tutasikia mengi mwaka huu
 
NAshindwa kuongea nimejaza popcorn mdomoni naangalia muvi inavyokwenda
 
Mi nina hasira ka nini. Tumezuiwa pale Kwa Sadala kama saa 2 hivi, kisa Jk anahutubia! Na hawa vilaza wetu wa geshi wanafunga barabara bila sababu! Kidogo nigombane na wateja wangu kwa kuchelewa. Mi wla siongei leo ila inakera mno! Labda nalo jukwaa lilikuwa linajengwa ndo akachelewa Arusha leo
 
Wafungwa wa gereza la IBUKONI, wilaya ya ROMBO tarehe 13/09/2010, walitumika kujenga jukwaa alilotumia JK jana wakati akifanya mkutano 15/09/2010, katika shule ya msingi mbomai kati, TARAKEA , ROMBO MKOANI KILIMANJARO,
Hii ilisababisha wakazi wa tarakea wabaki na mshangao , kwani siku hiyo tarakea ilikuwa siku ya soko, na watu wengi walishuhudia tukia hili.

MAPENDEKEZO

  • Wanasheria wa chadema , angalieni jinsi mtakavyoshughulikia hili
  • CCM tafuteni risiti nyingine za kufoji , ambazo zinaonyesha , mmewalipa MAGEREZA WILAYA YA ROMBO, au MAGEREZA MKOA WA KILIMANJARO kwa ajili ya kazi hii ya kujenga jukwaa.
  • Post hii ina akili sana!
  • Actually kila mtu mahali alipo aangalie faulo zinazofanyika dhidi ya upinzani...
  • Nimefurahiwa sana na juhudi ya huyu member MPYA kutoa taarifa hii, na namhakikishia kuwa wahusika wataisoma leoleo na kuangalia uwezekano wa kufungua mashitaka endapo taratibu za kuwatumia wafungwa hazikufuatwa!

Back
Top Bottom