Kagasheki azindua kampeini Bukoba (picha) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kagasheki azindua kampeini Bukoba (picha)

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutunga M, Sep 16, 2010.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Nimeona kwenye blog moja juu ya kahasheki kuzindua kampeini lakini kikubwa katika blog hiyo inaoneshwa uwepo wa Bw Prince Bagenda katika uzinduzi ambapo wasiwasi ni kutojua sababu za uwepo wa jamaa huyu ambaye inaeemekana kuwa .....................

  gonga hapa
   
 2. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2010
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Rutunga,
  Mko sahihi kabisa kuwa na mashaka ya uwepo wa Bagenda kwenye jukwaa la kagasheki. Binafsi nafahamu kwa undani urafiki ambao hivi karibuni uliingia kwenye hali ya uadui baada ya Prof. Tibaijuka kuombwa na kisha kutaka kutangaza nia kupitia jimbo la BK-Mjini. Jambo hili si kwamba lilimwewesesha kagasheki bali lilienda mbali zaidi na kujenga chuki dhidi yake na Prof na timu yake yote akiwemo Bagenda. kagasheki alikwenda mbali zaidi kuimarisha chuki hii hata baada ya Prof kuhamishia majeshi Muleba kwa Masilingi. Imethibitika kwamba kagasheki alichangia kwa mali na fedha lukuki kuhakikisha Masilingi anambwaga Prof. Na engine ya Prof; Bagenda ikalishinda hilo. Hivyo, uhusiano uliopo kati yao wote ni wa kinafki
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Mbona malori ya fuso yamefanya kazi kubwa leo ya kuwaleta wana sisi m kwenye uzinduzi? mleta picha hakukumbuka kusema na habari hizi.

  Haya kiama cha huyu bwana kipo 31.10.2010
   

  Attached Files:

  • 3.JPG
   3.JPG
   File size:
   36.4 KB
   Views:
   14
Loading...