Huku sio kujiamini..

Huku sio kujiamini..

SOKETI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
206
Reaction score
50
Kitendo cha CCM kuwakataza wagombea wake kushiriki ktk midahalo ya kisiasa ambayo inatoa fursa kwa wagombea kuongea na wananchi moja kwa moja ni kitendo cha kutokujiamini, udicteta na ukandamizaji wa democrasia ya kweli....Na CCM kama chama kikongwe kimeonyesha kushindwa kuonyesha ukomavu wake wa kisiasa na na kimepoteza mwelekeo wake wa kuwa chama chsiasa.
 
Hawana jipya la kuwaambia wananchi halafu kuna maswali tata ambayo hawataweza kujibu.
 
Natamani wangetoa nafsi ya kuliza maswali ningeshiriki kwenye kampeni zao. Maana nina maswali mengi sana.
 
Back
Top Bottom