Watanzania tusipochukua hatua sasa, itakuwa ngumu sana miaka ijayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tusipochukua hatua sasa, itakuwa ngumu sana miaka ijayo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Masauni, Sep 16, 2010.

 1. M

  Masauni JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama nimfatiliaji wa mambo unaweza kujua kwa undani ni nini hasa kilichofanya taifa la Zimbabwe wakati huo likiitwa 'kapu la Africa' likisambaratika na kuwafanya wanachi wake waikimbie nchi. Kilichotokea nchi hiyo ndo kitakacho kwenda kutokea Tanzania kama tunaendeleza ushabiki tu bila kuwa na sababu za msingi. Wananchi wa Zimbabwe walikuwa hawajali sana na walikuwa hawa amini kwamba siku moja uchumi wao unaweza kushuka namna ulivyoshuka. Na hata ufisadi ulipokuwa unafanywa na Raisi wa nchi hiyo Robert Mugabe wananchi hawakujali sana kama ni tatizo kubwa(Hii ni sawa kama ufisadi unaofanywa na kikwete na CCM yake lakini baadhi ya watanzania kama Tandaleone wanashangilia).Mke wa raisi Mugabe alipokuwa anachukua ndege ya serikali nakwenda china, Hong kong kufanya shooping, wapinzani walipiga kelele, lakini baadhi ya wananchi wakamsupport mama huyo na kuwakandya wapinzani kwamba wanamuonea wivu(Tanzania Salma kikwete anafuja fedha yetu, baadhi ya watanzania kama tandaleone wanashangilia na kusema wapinzania hawana sera). Wazimbabwe walipogundua Mugabe ameimaliza nchi wakampinga sana lakini aliwa intimidate wananchi wakiwemo waliokuwa wanamshangilia hapo mwanzo na baadhi waliuawa, kuwapoza wananchi akaja na sera ya "land reform" ndo ikaharibu kila kitu. WATANZANIA WENZANGU TUSIDHANI YALIOWAPATA WENZETU SISI HAYATUHUSU KWA SABABU UKIANGALIA MATUKIO YALIOFIKISHA ZIMBABWE ILIPO NI EXACTLY MATUKIO TUNAYOPITIA
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Umeishiwa...
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Yaelekea wewe ndiye unayezungumzwa hapo juu. Pole sana FL, jamaa hajaishiwa bado anaendelea kushusha.
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Na huyo FL ndie nani?
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  wewe:mad2:
   
 6. D

  Dopas JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kweli kama hatutafanya mabadiliko 31/10 kwa kutumia kura zetu, baada ya hapo tukae kimya hata kama nchi ikiuzwa. Kuna mambo mengi ya kufanya kuliko mwaka mzima kuzungumzia hayo. Ndo maana tunawachagua viongozi makini ili watuongoze vema katika yote yanayohusu maslahi ya nchi. Muda ni huu wa kufanya maamuzi.

  Achana na kina Tandaleone. Huenda hao ndo wananyonya mirija hiyo ya kifisadi pamoja na kina JK, EL, RA na wengine.
   
Loading...