Elections 2010 Mti wenye matunda ndio unarushiwa mawe

mozze

Senior Member
Aug 27, 2010
185
28
Ona, mfumo mzima wa CCM, viongozi, wapambe na mashabiki wao kila mtu anapambna na Dr. Slaa lakini hawafaulu kurudisha nyumba nia ya watanzania ya kuleta mabadiliko.
Kila kukicha lakima mmoja wa wana CCM ataongelea kuhusu Slaa. Wanampiga Mande!
Kwa nini wasiendelee na kueleza sera zao na mafanikio yao wanayosema yapo? kwa nini wanamuogopa Slaa?
KITENDO CHA WANACCM KUMSHAMBULIA NA KUJIBU HOJA ZA DR.SLAA KINAONYESHA SLAA NI TISHIO KWAO na NI KIONGOZI MADHUBUTI NA MAKINI mana hakuna hoja iliyojibiwa kisahihi mpaka sasa.
SITTA kaingia naye: Je si huyu ndiye aliyesema Dr. Slaa na Zitto ni wauongo wakati wanaibua hoja za Ufisadi? Leo ana lipi jipya?
 
Yaani kuanzia kada wa CCM, Katibu Mkuu wa CCM, Meneja wa Kampeni wa CCM, Aliyekuwa Spika wa Bunge wote wanampiga mande mtu mmoja kweli jamaa anawapelekesha ile mbaya na kuwavua nguo hadharani
 
Yaani kuanzia kada wa CCM, Katibu Mkuu wa CCM, Meneja wa Kampeni wa CCM, Aliyekuwa Spika wa Bunge wote wanampiga mande mtu mmoja kweli jamaa anawapelekesha ile mbaya na kuwavua nguo hadharani

Nimemdharau Samweli Sitta mpaka basi. Bora njama za kumng'oa urambo zingefanikiwa.
 
Unadhani mtu ukiwa tishio kwa wenzako wakufanye nini?Wakae kimya wakati wanajua kuwa unawatilia kitumbua chao mchanga?Tuyaonayo ni mwanzo tu subiri mengi yanakuja maana huu ndio wakati wake.

Neno la SLAA kupigwa MANDE nadhani hapa limetumika mahali ambapo sio pake na lilitakiwa kutafutiwa msamiati wake ambao ungefikisha ujumbe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom