Kikwete na CCM juu kuta za nyumba za watu, Dr Slaa na CHADEMA ndani ya mioyo ya watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete na CCM juu kuta za nyumba za watu, Dr Slaa na CHADEMA ndani ya mioyo ya watu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Sir R, Sep 20, 2010.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Tangu kampeni zianze nimegundua kuwa JK na CCM wako mbali na watanzania, wamejaza picha kila mahali mf kuta za nyumba, nguzo za umeme, mabango makubwa.

  Pamoja na jitihada hizo mvuto wao hauko kwa watu, kila mahali watu wanaizungumzia CCM na viongozi wao wanazungumziwa vibaya. Wanajitahidi kuwapakiza watu kwwenye magari lakini wapi, hakuna mvuto, wanabaki kwenye eneo la nje ya binadamu;

  Upande wa pili Dr Slaa na Chadema wamejitahidi kuingia ndani ya mioyo ya watu mfano watu hujipeleka wenyewe kwenye mikutano ya Dr Slaa na chadema bila kubebwa. Hamna matangazo mengi kama ya CCM, Watu katika mikutano ya Chadema wanahamsa sana kuliko mikutano ya CCM inayotawaliwa na utarabu;

  Maofisini na sehemu mbalimbali Dr Slaa ni tumaini la wengi, miaka hii kuzungumzia CCM kwa uzuri ni kama tusi, hakuna anayetaka kujadili sera CCM kwa uzuri.

  CCM imekuwa kama mtu asiyeoga lakini anajitahidi kuvaa vizuri kwa nguzo za gharama kubwa, kitakachomumbua mtu huyo ni harufu mbaya.
   
 2. u

  urasa JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ccm na jk wana roho mtaka vitu,dr slaa na chadema wana roho mtakatifu
   
 3. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Roho Mtaka vitu na Roho Mtakatifu hawawezi kukaa chungu kimoja; watu wanachagua mabadiliko kushinda hofu
   
 4. D

  Dopas JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ni wazi kuwa mwaka huu ukombozi wa kweli utaletwa na watanzania wenyewe kupitia kura zao. Tuendelee kuiombea nchi yetu.
   
 5. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #5
  Sep 21, 2010
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tehe tehe tehe,, I like it!!!
   
 6. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu
   
 7. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  "CCM Kuvaa vizuri nguo nzuri wakati afya mbaya (kukosa dira, uelekeo, na utekelezaji), (kifo) matokeo mabaya yatawaumbua"
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Wengi wanahudhuria mikutano ya ccm kwa sababu ya matamasha ya muziki na si vinginevyo wakati mioyo yao iko mbali na ccm
   
 9. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
   
Loading...