Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NEC imetangaza mikakati ya kulinda kura wakati wa uchaguzi Mkakati wa kwanza - Matokeo yatajumlishwa kisayansi majimboni na ya urais yatabandikwa kila yatakapohesabiwa - Kutakuwa na kituo cha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
"The United States will focus our development efforts on countries like Tanzania that promote good governance and democracy; the rule of law and equal administration of justice; transparent...
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Ningependa kuuliza wana jf,kwenye fomu za kuwania ubunge hakuna kipengele cha- jee umewahi kushtakiwa kwa kosa la jinai?nashangaa kikwete ni kiongozi wa serikali na kila siku anatamba kesi za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF nimeikopi hii mahali, Tafakari, chukua hatua KIONGOZI BWM Vs JK MWAKA 2000 -2004 Vs 2005-2009 Unga 460 Vs 1000 = 217% Mchele 600 Vs 1200 = 200% Sukari 760/kg Vs 1600/kg = 210%...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Policy Forum releases TV Spot on Mining...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kinana anasema Dr Slaa akipunguza mishahara ya wabunge haitotosheleza matumizi anasahau kwamba kuna Methali ya Aba na Aba Hujaza Kibaba nakumbuka vizuri Dr Slaa amehahidi hata kupunguza baraza la...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari iliyoripotiwa na Sadick Mtulya kutoka Zanzibar na kuchapishwa katika gazeti Mwananchi inasema kuwa, Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi - Civic United Front (CUF)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wakati wa FIESTA za bure ni wakati huu,ikishapita 31/ hutafaidi tena FIESTA za burebure zimeshalipiwa kuwasahaulisha watanzania na umaskini wao uliokubuhu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama ilivyotarajiwa, "ushindi wetu" wa Tuzo ya Milenia (MDG) umeshageuka mtaji kwa Serikali ya Chaguo la Mungu Jakaya Kikwete.Nimeonelea kuandika makala ya habari-picha kutoa pongezi kwake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dk Slaa, NEC wamshukia Tendwa Boniface Meena, Rombo na Salim Said Dar - Mwananchi TUME ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imemshukia Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa, ikibainisha kuwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakati Tanzania imepata Tuzo huko new york kwa mafanikio katika elimu utafiti hapa nyumbani unaonyesha hali tofauti kuhusu ubora wa elimu yenyewe. Someni ripoti hizo. John
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Governments both national, regional and local are some of the biggest funders of sport. Recent years have seen a number of national and city governments support the staging of sports events, and...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425 PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Hayo ni matokeo ya ripoti moja iliyotolewa jana.. HABARI NDIYO HIYO! CHANZO: Habari Leo UTAFITI wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Uwezo, umebaini kuwa kati ya wanafunzi 10 wanaomaliza darasa...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Ndugu zangu; Kuna mtu alikuwa analalamika kwamba serikali imesababisha bei ya bia kupanda toka 900/-TZS mpaka 1,500/-2004 to 2010.Nikamuuliza bei ya soda ya Coke nchini Kenya,Afrika Kusini au...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
....... Dk. Chegeni alisema, “Sisi tuna mtaji mkubwa, hao wasiolalamika hawana mtaji…hatuwezi kuacha ikawa taarifa ya (anataja gazeti) na Synovate. Hapa inagusa vyama na sisi tuna maslahi. Sisi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wadau napenda kufahamishwa ni kampuni gani ita/ zita husiika ku supply, kuchapisha makaratasi ya kupigia kura.? Kampuni gani zimeshind ku supply maboksi na vifaa vingine vya uchaguzi. kampuni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu kuna hii habari hapa chini: Tanzania imepewa Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Millenium Development Goals (MDGs) 2010 : The Global Heabeat kutokana na mafanikio makubwa iliyoyapata katika...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Tetesi na uchambuzi wa masuala ya kisiasa Tanzania: Kwa jinsi Salma na wana familia wengine wa Kikwete walivyoingia kwa nguvu kwenye siasa inasemekana kuna mchogo wa kumfanya huyu mama mashuhuri...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau, ningependa nijue huyu bwana mdogo ("First brother") wa TZ huwa anaongea nini huko anakozunguka akipiga siasa. Maana najua huyu dogo hana point kabisa, nataka yeyote anayejua ambayo huwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom