Elections 2010 Huyu Jamaa wa Synovate kweli amekanusha hapa (Video)?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995


My Take:
Sijui kama nimeridhika kuwa amekanusha kuwa Synovate haikufanya inachodaiwa kufanya. Maana nasikia ndio sababu hawakutaka kwenda EATV ambako walikuwa wawepo kwa sababu JamiiForums nayo ilikuwa kule.
 
Last edited by a moderator:
na bado watakimbia, sana mwaka huu, ambao ni mwaka wa mabadiliko
 
Ahsante Mkjj.... kwa video clips kama hizi, ipo siku nafsi zitawasuta na wajukuu zao kuona jinsi babu zao walivyokuwa wauza haki!!
 
Lile swali alilo pigwa "mmetumwa na nani kufanya utafiti?" hivi alijibuje?
 
Angegawa nakala za huo utafiti ili kukata mzizi wa fitina. CCM alipobanwa kuhusu safari za Salma Kikwete, Kinana alikuja na risiti(feki). Kwa kuwa hili ni andiko, kwanini wasije na nakala?
 
mwaka mzuri sana huu kwa watanzania, kila madudu tunayoyaona ni reflection tu ya tulivyozoea kuishi... kifekifeki tu sasa kila kitu hadharani, watababaika sana tena wote

mengi yatakaa wazi
 
Bado wanababaika, maji yamewafikia shingoni....
Sijui ni uwoga au cowardice....
The impossible is about to happen! na bahati mbaya hawakujitayarisha mapema,
they have always underestimated the power of the people lakini mpaka sasa naona kijasho kimeshawatoka vya kutosha!!
 
ya maana CCM yenyewe wanajua kuwa washabiki wako wanao washabikia si kuwa wanawapendabali ni kwa kubebwanalori ,kuwekewa mafuta kwenye pikipiki n.k so jasho lazima liwatoke
 
Mkuu Mwanakijiji.

Nakushukuru kwa hili chapisho, kuna kitu naamini ingawaje sina hakika kama wengine wanaliona hili.
MDAHALO WA WAGOMBEA URAISI. naamini kuwa mdahalo ukifanyika watanzania watapata nafasi nzuri sana ya kuwajua wagombea kwa undani zaidi na hasa uelewa wao juu ya matatizo ya taifa letu.

Kwa sasa CCM wameogopa tayari, Je nyie mlioko huko majuu hamwezi kutusaidia ukafanyika hata kama mgombea wa CCM hatakuwepo?

Naamini hii itakuwa karata nzuri sana kwa upinzani na hasa chadema kwa sababu ya uwezo wa Dk Slaa kuongea kwa kutumia takwimu. naamini uwezo wake wa kusoma na kupitia kila nyaraka inayohusu taifa letu utajidhihirisha kwa watanzania.

Tusaidieni.
 
Ku prove kama walifanya ama hawakufanya itakuwa ngumu sana!!

Ingawa pia sioni kama ingebadili chochote come October, 30th!!
 
Kwenye magazeti ya leo anadai kuwa Synovate ufanya utafiti ndani ya makubaliano na client. Sasa je, tafiti za mwanzo nani alikuwa client wao? Na wa sasa ni nani?
 
Kwenye magazeti ya leo anadai kuwa Synovate ufanya utafiti ndani ya makubaliano na client. Sasa je, tafiti za mwanzo nani alikuwa client wao? Na wa sasa ni nani?

Hii inaniambia kuwa safari hii client hakuwa CCM, lakini kwa kuwa matokeo yalikuwa hasi kwa CCM, kuna mmoja wao aliwadokeza kina Makamba na hivyo wakastopisha kutoa matokeo.

Sasa hivi CCM inatayarisha dau kubwa kwa Synovate ili waje na matokeo ya 'kuridhisha.'
 
Mi sijawahi kuziamini useless tafiti za hawa watu. Nadhani we are trying to exagrate the issue. Hawa jamaa tafiti zao huwa ziko biased sana. Yaani CCM wanaweza kuwapa conclusion wanayoitaka (eg % ya kukubalika kwa JK) halafu ndo jamaa wakaifanyia kazi ku-justify. Ni kama zile hesabu za darasa la kwanza
1 + ____ = 6. Unapewa jibu halafu ndo ujaze namba inayokupa jibu.
 
Synovate: No such finding on Slaa

SYNOVATE Tanzania has refuted reports by a section of the media that it is withholding research findings that show CHADEMA presidential candidate Dr Willbrod Slaa is popular than his CCM counterpart, President Jakaya Kikwete.The research firm’s Country Manager, Mr Aggrey Oriwo, said in Dar es Salaam on Monday that the reports and supporting data released in the media "are a mere fabrication which has no grain of truth.’’

Expressing his disappointment, he said: “Let it be known that we don’t have such results. When they will be available, we will release them to the public at the Maelezo Auditorium in Dar.’’

He further stated that nobody from the government or any related institution has approached his organisation on the quarterly opinion polls that it undertakes.

On Monday a section of the media carried stories quoting the Chadema National Chairman, who is also the party’s parliamentary candidate for Hai constituency, Mr Freeman Mbowe, saying that the research firm was withholding results of the opinion poll that affirmed Dr Slaa’s higher popularity rating.

Mr Oriwo said his firm has lodged a case against such media outlets to the Media Council of Tanzania (MCT), in addition to contacting the management of the concerned media over the same.

Mr Oriwo wondered how the media could quote a politician who is not a Synovate employee. According to him, his organisation bid for and won the Election 2010 Support Project Election Media Monitoring project tender. Its monthly report was released in September.

He warned the release of the election results should not be misconstrued as the harbinger of the opinion polls or withholding of the information. According to him, his organization releases opinion polls on quarterly basis and in accordance to the terms of reference of their clients.


Source: (http://www.dailynews.co.tz/election/index_news.php?articleID=414 - by LEVINA KATO, 20th September 2010)
 
Back
Top Bottom