Elections 2010 Uchaguzi umewageuza wasanii wa bongo fleva kua madekio?

Negotiator

JF-Expert Member
Aug 9, 2010
303
44
Wasanii wetu kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita walisikika wakilalama kua wametelekezwa na JK kinyume na alivyoahidi wakati wa kusaka kura. leo kwa kuganga njaa ya msimu wanajitutumua kumfagilia yule yule waliyelalama kawatupa. Siasa hizi za CCM haziwageuzi wasanii hawa kua madekio? Na wenyewe(wasanii) wameafiki hilo
 
wewe utakuwa mgombea wa chadema nini "SUGU" pole broda! rudi studio
 
Wanafagiliaaaa.
Msanii wa kweli hapelekwi-pelekwi kipuuzi.
Hakuna msanii pale wote ni chariot chasers period.
 
Wanafagiliaaaa.
Msanii wa kweli hapelekwi-pelekwi kipuuzi.
Hakuna msanii pale wote ni chariot chasers period.
Kama swala ni kuimba kwenye kambeni basi jua wapo kazini kama alivyokuwa mabere marando na watuhumiwa wa ufisadi aliowataja Padri slaa
na kama ni kuwa wanachama hio haikuhusu
 
Wanasiasa wanapohitaji huduma yako wanakuchukulia kama toilet paper. Wakishakutumia wanakutupa ******
 
Wasanii wetu kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita walisikika wakilalama kua wametelekezwa na JK kinyume na alivyoahidi wakati wa kusaka kura. leo kwa kuganga njaa ya msimu wanajitutumua kumfagilia yule yule waliyelalama kawatupa. Siasa hizi za CCM haziwageuzi wasanii hawa kua madekio? Na wenyewe(wasanii) wameafiki hilo

Umenena, siyo mafagio tu bali fagio la choo. Kampeni ikiisha watakuwa wanasikilizia tu, watakimbia vivuli vyao kwani 2010 ni ya Dr Slaa, dokta wa ukweli.
 
Back
Top Bottom