Udondozi wa magazeti.......??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udondozi wa magazeti.......???

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by zumbemkuu, Sep 22, 2010.

 1. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Kwenu wan JF, leo nimefuatilia dondoo za magazeti kwenye vituo vya tv vya MLIMANI TV, CHANEL 10, lakin sijaona wakigusa magazeti ya MWANAHALISI na RAIA MWEMA, nijuvyeni jamani, wamekatazwa au wameyakosa?
   
 2. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Zumbe, mbona hilo ni la kawaida? Umeishawahi kuyaona yakidondolewa TBC? ITV? Lakini hata wafanyeje, mwaka huu tunao tu. Majina yao tunayaorodhesha...Their Days are Numbered.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Na tusikilize tena kesho, kama wataendelea kutoyasoma, then ujue iko maneno!
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kama hata MLIMANI TV wameshaingiliwa basi napatwa na wazimu.
  SASA NAANZA KUKUBALIANA NA WANAOSEMA BILA KUMWAGA DAMU HAKUNA UKOMBOZI, KUMBE NDO MAANA HATA YESU ALIMWAGA DAMU KUTUKOMBOA!! BE READY..........!!!!
   
 5. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mimi nitakua Nikiimba
  Chorus:
  kanyagaaaa kanyaga (kanyaaga)
  kanyaga FISADI kanyaga (kanyaga)
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ni kitu cha kawaida ambacho si cha kushangaa, mimi nitashangaa siku pale katika udondozi wa magazeti watachambua pia gazeti la mwanahalisi
   
Loading...