Hivi ni kweli jk ana huruma ya kweli au ni mnafiki tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli jk ana huruma ya kweli au ni mnafiki tu?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mvaa Tai, Sep 21, 2010.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  JK DAIMA NI MWENYE HURUMA!  [​IMG]
  Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia na kumsikiliza msichana mlemavu Joyceline Paulo huko Rusahunga wakati mgombea huyo aliposimama kuwasalimia wananchi na kunadi ilani ya CCM.Dr.Kikwete aliahidi kumpatia mlemavu huyo baiskeli maalumu ya matairi matatu ili aweze kumudu shughuli zake kwa urahisi zaidi.Dr. alikuwa njiani akitokea Ngara mkoani Kagera kuelekea Wilayani Kibondo mkoani Kigoma kwa barabara(picha na Freddy Maro)

  Source: KAMANDA WA MATUKIO: JK DAIMA NI MWENYE HURUMA!
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Watafute Liyumba na Babu Seya watakuhabarisha!
   
 3. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #3
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huyo sio mlemavu tu! pia ni kada wa ccm huono alivyo vaa!.
   
 4. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #4
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hao wako jela, Mwambie akawatafute wastaafu waliokua wa EAST AFRICA. Bila kusahau wahanga wa mbagala na DECI.
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mnafiki tu! angekuwa na huruma asingekubali wafanyakazi wa Tanzania waishi kama wakimbizi ndani ya Taifa lao walilopewa ma mungu na kufikia mbali zaidi kwa kusema hataki kura zao, Huyu mkwere huyu, CCM inafia mikononi mwake and i bet he was the last president from CCM.
  Simpendi!!!!
   
 6. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,491
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  huyo mlemavu angekuwa amevaa sare za CHADEMA asingejaribbbu hata kumsogelea
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Mnafiki tu huyu
   
Loading...