Akamatwa na vitambulisho 20 vya wapiga kura-sumbawanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akamatwa na vitambulisho 20 vya wapiga kura-sumbawanga

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Technician, Sep 22, 2010.

 1. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Taarifa niliyoisikia jana kutoka Redi WAPO FM inasema kuna wanawake watatu wamekamatwa wakikusanya vitambulisho vya wapiga kura 20 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu octaba 31.
  Wnawake hao walisema kuwa wamepewa tender hiyo na mgombea mmoja wa kinyang'anyiro cha kuwania ubunge jimboni humo ili kuweka record za mahesabu vizuri iwapo atalichukua jimbo basi kuna gawio litakalopita kwa hao wote.
  Hizi ni taarifa za uhakika nimesikia kwa masikio yangu jana jioni WAPO FM

  Kama kuna mtu ana taarifa zaidi tunaomba atujuze.
   
Loading...