Kikwete kushinda kwa asilimia themanini na nane 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete kushinda kwa asilimia themanini na nane 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kakakuonap, Sep 21, 2010.

 1. k

  kakakuonap Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna kila dalili, ishara, hamasa,viashiria kwamba mgombea wa CCM atashinda kwa asilimia zaidi ya 88, hii inatokana na utekelezaji wake Ilani , mshikamano uliopo ndani ya CCM ,IMANI YA WATANZANIA AMBAYO WANAYO KWA MGOMBEA WAKE JK , imani ya mataifa mbalimbali juu ya JK kama vile Marekani , Muungano wa Ulaya, Mataifa ya Kiarabu, China, India, Korea, na Afrika kwa ujumla na dalili za wazi zinazooonyesha kutapatapa kwa wapinzani kwani badala ya kuelekeza hoja kwa mgombea wa CCM na CCM wanasakama mara Familia, mara Makamba au Kinana hii ni wazi wapinzani wamepoteza muelekeo ushindi kwa CCM 2010.
   
 2. M

  Masauni JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 3. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160

  VUVUZELA at work!!
  Hali ni ngumu mkuu...
   
 4. coby

  coby JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ameshashinda tayari kwa kukubalika kwa mataifa ya kizungu. Wazungu hata siku moja hawawezi kumkubali mzalendo wa kweli kama Dr. Slaa kwani wanajua akiingia ikulu biashara zao za kitapeliTanzania kwishnea. Ndo maana wanampigania JK abaki pale kulinda interest zao. Ila tukirudi kwa uma wa watanzania ambao ndio wapiga kura na si wazungu, mwisho wake ni 31st October 2010
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mahoka haya!
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 7. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  :becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky: aaaah mpaka basi Mchungaji...
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 10. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  asilimia ngapiiii...????? ati 88%..?????

  SIKU HIYO MVUA YA VITUMBUA ITANYESHA..!
   
 11. M

  MC JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kama mtu hauna maslahi yoyote CCM, hauna matatizo ya kufikiri, HAUWEZI Kumpigia kura Kikwete

  Kakakuonap, unasema hivyo kwa sababu ya maslahi tu, kama siyo hivyo basi 'Ujinga hauchagui' ndugu yangu fumba macho, fumbua macho, mpe kura yako Dr. Slaa, kwa faida yako wewe, mwanao faida zaidi, wajukuu zako zaidi na zaidi.

  Sisi wengine si wanachama wa chama chochote, kabla sijaelimika na sijaanza kusafiri kwenda sehemu mbalimbali Duniani nilikuwa najivunia sana kuwa Mtanzania, na niliamini sana Tanzania ni nchi bora zaidi duniani kwa amani na mambo mengine ya kijamii. Ila sasa mtu haniambii kitu, ninikutana na mtu anayejiita ni kiongozi Serikalini namwona kama vile hamnazo!!!, Yes, madness, kwa sababu the country have everything so why poverty... anyway Somalia hawakuzaliwa wakipigana ni kwa sababu ya ujinga wa viongozi wachache wanasababisha mapigano, CCM should leave the nature to take its course otherwise ....????!!!! 'believe you me, Tanzanians are Tired!!'


  Dr. Slaa for Presindent
   
 12. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahahhahhahaahhaahhh! mkuu hiyo ndo suluhisho. Hatutaki kurudi enzi zileeee, lakini ikibidi tutawafanyia kazi. Niko msituni, naandaa jeshi langu, mawakala nawapa mafunzo maalumu.
   
 13. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Chaguzi nyingine zilizopita utabiri kama huu ulikuwa kibwagizo cha kupanga matokeo. Sasa hivi HATUDANGANYIKI Dalili za joto la matokeo muulize JK amekwisha lipima sio wewe na taasisi yako ya sheikh yahaya
   
 14. h

  hagonga Senior Member

  #14
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu katumwa na CCM au anajifurahisha Tu!!!!
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  du mvua ya vitumbua:) watoto si hawataenda shule cku hio?.. Kikwetе ashajua kuwa yake miaka ni mi5 ndio maana kajenga kwao mapema hajangoja term ya pili. The guy is wife for himself he know TANZANIANS now dey ar nt joking with KIMa yoyote .
   
Loading...