Luke 16: 3-4
"The manager said to himself, 'What shall I do now? My master is taking away my job. I'm not strong enough to dig, and I'm ashamed to beg I know what I'll do so that, when I lose my...
Serikali yaagiza matokeo ya tafiti yadhibitiwe
Thursday, 30 September 2010 19:26
James Magai
Source: Mwananchi
KUKIWA na tuhuma za kuzuiwa kutangaza matokeo ya tafiti za kisiasa, serikali...
Wote tumesikia au kusoma kuhusu tamko la Jeshi kuhusu Uchaguzi Mkuu wa 31 October, 2010.
JWTZ kutoa angalizo hili ni kujidhalilisha ingawa ninaamini kabisa kuwa amri hii imetoka kwa KIKWETE...
Hiki ni kituko jamani,chama cha mapinduzi(ccm) wametoa mpya kwa wananchi baada ya kupita na gari lao la watangazo wakiwatangazia wananchi ya kwamba wajitokeze katika eneo la shule ya msingi...
Mawaziri wakiuka sheria ya maadili ya uchaguzi Saturday, 02 October 2010 07:34
Salim Said
MAWAZIRI na watendaji wakuu wa serikali wanaongoza kwa kukiuka Sheria ya Gharama za Uchaguzi na...
Wakuu mie ni mdau wa nchi yangu na ni mpenzi sana wa bongo
For the last 4 weeks nimekua naangalia sana habari za mikutano ya kampeni na nimepata wazo mbadala kidogo kuhusu impact ya mikutano ya...
I came across this interesting article posted somewhere by a blogger.
You be the judge!!
Mkuu wa kaya pole na mihangaiko ya kampeni naona imepamba moto kweli kweli ! Uzuri ni kwamba libeneke...
Agenda Participation 2000 ni shirika lisilo la Kiserikali ambalo linajihusisha na masuala ya uchaguzi na elimu kwa umma juu ya uchaguzi na uraia. Juzi (Ijumaa) jeshi lilijiingiza katika siasa...
People who keep on doing things the same way, they will always get the same results they have always Got.
Kama tunaridhika na hali iliyoko, basi ukweli hatuhitaji mabadiliko mengine mazuri...
Thursday, 30 September 2010 20:09 0diggsdigg
Exuper Kachenje
KATIKA kusaidia sekta ya elimu nchini, kampuni ya vifaa vya elektroniki ya Dell ipo mbioni kusambaza kompyuta milioni moja kwa...
Harakati za kujipatia ushindi wa kishindo zimeendelea leo baada ya mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi kumnadi mgombea ubunge huko igunga kwa tiketi ya ccm mh. Rostam Aziz, asema ni...
Hope hawatatuwekea tena zile picha za vita ya rwanda kwenye public tv stations kama kipindi kile ilikututishia kuwa tusipo wachagua yatatokea kwetu... WATANZANIA 2010 HATUDANGANYIKI!
gharama ya kuikomboa nchi ni kubwa na inahitaji watu wenye mioyo migumu watakaojitoa kwa hali na mali
tumekuwa tukilalamika kuwa kwenye baadhi ya majimbo kuna wagombea ni mafisadi PAPA na...
FACTBOX-Key political risks to watch in Tanzania
Thu Sep 30, 2010 3:24pm GMT
By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM, Sept 30 (Reuters) - Tanzania, east Africa's second largest economy...
Kuna mchangiaji katoa haya maoni kwa kweli nimeyapenda
anasema:-Kwa kweli nimeyakubali yale maandiko yanayosema YAACHENI MAGUGU NA NGANO VIOTE PAMAJA . Na itakapo fika wakati wa kuvuna sisi...
Wana jukwaa kuna kura ya maoni kwenye tovuti ya Radio Free Africa (Radio Free Africa | The Sound Of Africa) inayohusu nani wadau watamchagua kuwa rais. Matokeo mpaka sasa ni Dr. Slaa (80%), JK...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu amesema kuwa endapo atachaguliwa tena ataanzisha mpango maalum wa kuwakopesha zana wavuvi katika...
Jumapili, Septemba 12, 2010.
Na Maggid Mjengwa,
HUU ni mjadala niliouanzisha kule kwenye jukwaa la Jamii (www.jamiiforums.com). Nauendeleza hapa ili uwafikie wengi zaidi.
Ni tathimini...
Kuna habari Zimenifikia hivi punde kutoka urambo tabora kuwa jeshi la wanyama pori
Urambo, Tabora limechoma nyumba za kijiji kimoja na kuua watu 25 kwa kuwasingizia
kua ni Majambazi.
Watu hao...