Majambazi yanayoshambulia wavuvi yamejijenga JK akiwa wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majambazi yanayoshambulia wavuvi yamejijenga JK akiwa wapi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by QUALITY, Oct 2, 2010.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  JK.jpg

  Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu amesema kuwa endapo atachaguliwa tena ataanzisha mpango maalum wa kuwakopesha zana wavuvi katika maziwa ya Tanzania.

  Aidha, Rais Kikwete amewatangazia majambazi wanaofanya uharifu, kushambulia na hata kuua wavuvi katika maziwa ya Tanzania kuwa sasa kiama chao kimefika.
  Rais Kikwete ameyatangaza hayo siku ya Jumapili, Septemba 26, 2010, wakati alipofanya mikutano ya Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu katika maeneo ya Busekera, Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara; na Ukara, Wilaya ya Ukerewe, Mkoa wa Mwanza.

  Kwanini haya hayakufanyika tangu mwaka 1961, yamekumbukwa mwaka huu? CCM chama kikongwe kilikuwa wapi muda huo wote?
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  the best thing about Tanzanians is they are good in promising

  the worst of Tanzanians, is that our level of commitment to our promises is less than 50%
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Matendo yake jk ndiyo yaliyofanya atumie nguvu nyingi kujinadi kwa sasa, angefanya vyema angesingemsumbua makamba kufanya kazi kuubwa ya kumuuza!
   
 4. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  God Damn it hapo umewaongezea yani ni less tha 0.00% esp to government/ccm leaders

  Sasa kama majambazi huko Lake Victory kwenye visiwa vya nkome,kahunda, Jumanne, Ukara hilo jeshi linalo jitamkia tu kwa haibu wameshindwa wasidia police wanakuja huku uraiani na kujifanya wanataka kuzuiz machafuko? machafuko gani hilo jeshi ndio lita leta machafuko huku mjini kwanza wameisha anza kwa ku draw attention kwa watanzania ati kuna dalili za fujo na kuvurugika kwa Amani tokea lini hii hali ikatokea kwa nchi yetu mie siamini kabisa hilo.

  Ivi wanajua nini maana ya kumwagika damu au kuvurugika kwa amani au wanaongea nadhani wamekaaa sana kambini wamesahau hata ishara ya kuvurugika kwa amani.

  JKT mkapambane na hao maharami uko Indian Ocean na Lake victoria,Tanganyika na sio huku nchi kavu kwa raia mbona hakuto kuwa na matatizo kabisaaa na hakutotokea umwagikaji wa damu kama walivyo tangaza hao wajeda.

  Kuvurugika kwa amani ni kunatoka na na viongozi walioko madarakani kukataaa mabadiriko kutoka kwananchi wao wanayo yataka hapo ndipo amani inaanza na inavurugika sasa nachosema ni kuwa viongozi walioko madarakani wao ndio wanapaswa soma alama za nyakati na kujua nini wananchi wanataka na sio kuwa buruza watakavyo na wanachi itafika siku hawato kubaliana na serikali itakavyo

   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Yule kigogo wa jeshi angewatishia hao majambazi wa majini badala ya kutisha wapinzani.
   
Loading...