Tuache kulalama tukapige kambi tuwang'oe mafisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuache kulalama tukapige kambi tuwang'oe mafisadi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'azagala, Oct 2, 2010.

 1. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  gharama ya kuikomboa nchi ni kubwa na inahitaji watu wenye mioyo migumu watakaojitoa kwa hali na mali

  tumekuwa tukilalamika kuwa kwenye baadhi ya majimbo kuna wagombea ni mafisadi PAPA na wamekuwa na baraka za wananchi kwa kuchaguliwa kihalali au kwa kupenyeza rupia.

  watu hawa huenda wangeweza kunyimwa kura na wananchi endapo wananchi hawa wangeelimishwa vya kutosha athari za mafisadi hawa

  wakati tunaendelea kujipanga kwa ajiri ya uchaguzi, tuangalie pia uwezekano wa kupata watu wenye uwezo wa kuvuta watu na kuelezea hali halisi ili wananchi watoe maamuzi sahihi siku ya uchaguzi. sijaona juhudi kubwa ikifanyika kutoka kwa vyama mbadala kupambana kwenye majimbo hayo zaidi ya kulaumu chama tawala kuwasimamisha wagombea hao.
   
Loading...