Elections 2010 RE: WALE WALIOKO MADARAKANI SASA ( FOR THOSE WHO ARE IN POWER/leadership CURRENTLY)

Mtaka Haki

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
492
149
Luke 16: 3-4
"The manager said to himself, 'What shall I do now? My master is taking away my job. I'm not strong enough to dig, and I'm ashamed to beg— I know what I'll do so that, when I lose my job here, people will welcome me into their houses."

(Your master in Democratic nation are the people who will vote.)
 
Hii inanikumbusha a shrewed servant aliamua kuweka mabo na raia ili akitimuliwa na Mfalme apate pa kufikia
 
Walioko waanze kujali hoja zenye nguvu ili huko mbeleni waonekane bado wako kwa maslahi ya wananchi. Sio kama wale waliopiga kelele buungeni halafu leo wanawaaibisha wananchi waliowatumainia kama wakombozi wao.
Heshima ya UTU iwe mbele.
 
Back
Top Bottom