Elections 2010 Yaacheni magugu na ngano viote pamoja

Freetown

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
883
73
Kuna mchangiaji katoa haya maoni kwa kweli nimeyapenda

anasema:-Kwa kweli nimeyakubali yale maandiko yanayosema YAACHENI MAGUGU NA NGANO VIOTE PAMAJA . Na itakapo fika wakati wa kuvuna sisi wavunaji tutajua ni nini cha kufanya hapo tarehe 31st October.

Kwa hakika kila mtu anapokwenda kuvuna ataruka magugu na kuvuna ngano

Mwenyezi Mungu ibariki tarehe 31st October, na uwape ufahamu Watanzania wanaoteseka kutokana na uongozi unaokumbatia mafisadi, kutoichagua ccm
 
magugu ni ch...........................................,cu................................. na ngano ni Chama chetu kileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom