Elections 2010 Igunga: Kikwete amnadi Rostam (picha)

lembeni

Member
Sep 8, 2010
31
1
Harakati za kujipatia ushindi wa kishindo zimeendelea leo baada ya mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi kumnadi mgombea ubunge huko igunga kwa tiketi ya ccm mh. Rostam Aziz, asema ni mtu safi anasingiziwa!

kikwete_rostam1.jpg

kikwete_rostam2.jpg

rostam_election.jpg
 
Huyu ndie mume wetu ccm best asipomnadi huyu atuna chama
adumu rostam milele
 
Baada ya Fisadi Sangara, wakati umefika kwa Fisadi PAPA.
 
Dawa ya hawa ni kuwamwaga afu kuwaburuza mahakamani...
Mkwapuaji wa mali ya umma anasema kasingiziwa...
Mbona hakwenda mahakani ili asafishwe..
Mshaurini hata kama anawadharau wa-TZ atumie maneno yenye staha...
 
asma ni mtu safi anasingiziwa

ULITAKA ASEME MCHAFU AJUI KUOGA???AMA AKIOGA ATAKATI
 
Inatia kinyaa,,, mi naona tumvamie tu hukohuko majukwaani anakotoa pumba... Hawezi kutufanya wakuja kiasi hiki... Yaani mtu ana shutuma za wizi yeye anamtangasia usafi!!!!
 
dawa ya hawa ni kuwaga afu kuwaburuza mahakamani...


kabla aujaanza wanakuburuza wewe na familia yako kupitia bot...waachen jamani hata neno linasema usipofanya kazi na usile kama wanaweza kuingia bot na kumaliza kazi ndugu wanafanya kazi we acha tu..anyway nisiseme sana goodfriday
 
Wandugu wanajitetea wanasema ni tuhuma ila hazijathibitishwa (hajahukumiwa wala hana kesi)
 
Kisha Dr. Slaa akashinda urais sijui atakuwepo wakati wa rais kuhutubia bunge!!!!!!!? Nadhani atakimbi nchi huyu itabidi jimbo la igunga uchguzi urudiwe!!
 
They have been taking us for granted for soo long, they made a fool of us, they get filthy rich at our expense lakini sasa kwa kauli moja tunasema..........HATUDANGANYIKI.
 
Sijapenda kauli ya ANASINGIZIWA,hata kama anashutuma za kifisadi haikuwa na haja kwa Kikwete kuanza kumsemea kuwa anasingiziwa bali angemuacha mwenyewe ajisemee,tunachotaka watanzania kwa sasa ni kusikia mgombea anasema nini juu ya kuwaletea maendeleo watanzania na si kuanza kujibu mambo ya watu wengine.
 
mimi nimeshatukana tayari ila kwa uungwana wangu siandiki hapa
 
Nasema tena kwasauti ya juu, JK kumtenganisha na mafisadi, ni sawa na kumziba PUa na Mdomo asiheme.
ccm na mafisadi ni mapacha. sioni mwadilifu ambae anatamani kubaki ccm.
 
inauma saaana...!


ni KWELI HUU NI MUME WA SISIEM..!


lakini naamini kabla sijafa....watoto wangu wataongozwa na watanzania wenye nchi...! SHAME ON U SISIEM...! U WILL PAY ONEDAY...!

hao jamaa wana pasipoti mbili mbili hao...! WAKE UP U MORONS.....!!
 
Back
Top Bottom