Ruge Opinion
JF-Expert Member
- Mar 22, 2006
- 1,838
- 701
Wana jukwaa kuna kura ya maoni kwenye tovuti ya Radio Free Africa (Radio Free Africa | The Sound Of Africa) inayohusu nani wadau watamchagua kuwa rais. Matokeo mpaka sasa ni Dr. Slaa (80%), JK (11%), wengine ni insignificant. Hii ni radio ya mkereketwa wa CCM. Sijui na hii watasema iko biased?