Ccm watumia jina la dr slaa kuwadanganya watu waje kwenye mkutano wao. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm watumia jina la dr slaa kuwadanganya watu waje kwenye mkutano wao.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TUNTEMEKE, Oct 3, 2010.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hiki ni kituko jamani,chama cha mapinduzi(ccm) wametoa mpya kwa wananchi baada ya kupita na gari lao la watangazo wakiwatangazia wananchi ya kwamba wajitokeze katika eneo la shule ya msingi majengo kumsikiliza dr slaa ambaye atahutubia tena katika eneo hilo,ikumbukwe eneo hilo ndio ambalo dr slaa alihutubia juz maelfu ya wanasongea,lakin ukwel dr slaa alikuwa hautubii teno ktk eneo hilo bali mgombea ubunge wa ccm Emmanuel Nchimbi ndiye aliyekuwa anamkutano ktk eneo hilo.watu walioamin ya kwamba dr atakuwa hapo walienda na walipofika ktk eneo la tukio walikuta ngoma zikipigwa huku kukiwa na bendera nyingi za ccm basi walitukana na kuondoka kwa hasira.Baadhi ya akina mama na akinabibi ambao ndio walikuwa wahudhuliaji wakuu wa mkutano huo ulioanza majira ya saa 6 za mchana had saa 12 jioni walikutwa wakilalamika ktk maeneo ya mkutano baada ya maroli ambayo yaliwatoa kutoka maeneo ya pembeni ya mji na kuwaleta kwenye mkutano huu,kutoonekana baada yamkutano kuisha ili ya warudishe ktk maeneo yao hali iliyosababisha watembee kwa miguu kutoka katikati ya mji had maeneo yao waliyotoka ambayo mengine ni zaid ya kilometa 20 had 25..huku wakizomewa njia mzima na wananchi wakaz wasongea mjin ambao walikuwa wanawaona walivyokuwa wanalalamika tena wengine wakisema ya kuwa wamekalishwa na njaa siku mzima na wanarud kwa miguu baada ya marol kuwarudisha watu kwa upendeleo..
   
 2. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahahhah! haya mambo mengine hayo sasa! watawadanganya watu kuwa Dr Slaa yuko CCM, so Chadema wawe makini zaidi.
   
 3. e

  ejogo JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Interesting huh! Huko Songea sisiem ndio imekusahau kabisa kimaendeleo.
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  hii ni dalili kwamba hata ccm wenyewe, hawamtaki Jk.
   
 5. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kweli maji yamefika shingoni, naona naona na JK nae punde ataanza kutumia hiyo strategy!
   
 6. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hela yabkununulia diesel na pilau ikiisha lazima watumie hiyo mbinu
   
 7. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  haya ni mashokoro mageni
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 896
  Trophy Points: 280
  Hawakuwa na malori ya kusomba watu
   
 9. e

  emalau JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hivi sheria inaruhusu malori kusafirisha abiria? au CCM iko above the law?
   
 10. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii ni nzuri sana kwa vile hata wao wamejua kuwa wakisema Dr. Slaa, watu huja wenyewe. Lakini kwa CCM watu hawaji mpaka wapewe posho na usafiri wa maroli. Can we get some pictures zikisafirisha watu?
   
 11. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  <p>
  </p>
  <p>&nbsp;</p>
   
 12. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ha ha haaaaaaaaaaaa mpya hii kaka, MASHOKORO MAGENI ndo nini kaka?
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Saa ya ukombozi wa mtanzania imekaribia
   
Loading...