Re: Yanayowafanya watanzania kutaka mabaliko ya haraka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Yanayowafanya watanzania kutaka mabaliko ya haraka.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtaka Haki, Oct 3, 2010.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  People who keep on doing things the same way, they will always get the same results they have always Got.

  Kama tunaridhika na hali iliyoko, basi ukweli hatuhitaji mabadiliko mengine mazuri zaidi.
  Kama tunahitaji mabadiliko mengine na bora zaidi basi lazima tufanye tofauti ili kuleta mabadiliko tofauti.

  Huwezi kupata mabadiliko kama unafanya vilevile unavyofanya siku zote.

  Kanuni inakataa. Fanya tofauti basi utapata matokeo tofauti. Fanya vilevile utapata matokeo yaleyale.

  Unaweza kueleza hapa ni mambo gani yasiyokuridhisha na unayodhani yanahitaji kubadilishwa?
  Karibuni. Kwa nini unadhani tunahitaji mabadiliko? Je Kikwete hawezi kuyaleta? Na je Kama hawezi kwa nini unaamini Slaa anaweza?
   
Loading...