Slaa drawing huge crowds, but Kikwete likely to win - REUTERS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa drawing huge crowds, but Kikwete likely to win - REUTERS

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by The Informer, Oct 1, 2010.

 1. T

  The Informer Senior Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It's a brilliant analysis, but its dead wrong on one thing -- Kikwete will lose the election. WILLIBROD SLAA IS THE FIFTH PRESIDENT OF TANZANIA!!
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  of course yes, why not?..........slaa is gonna be the fifth URT president, all signs are clearly seen by everyone of us, we are truly supporting him because we need change and it is only us who can make this change............
  IT BEGINS WITH U
   
 3. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Ukweli unauma...kheeeeee heeeee heeee!
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135

  Predictions are nothing but warnings, until they happen.....!
   
 5. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Ukweli? Since when Reuters imekuwa mtabiri. Ingesema kuwa wao wana crystall ball sawa... mi sina wasiwasi kwani Reuters wanapata wapi information? Analysis yao wanapewa na nani? Mungu? The answer is probably a local stringer wao anaesoma magazeti ya kiingereza ambayo hayaandiki half of the stories kama magazeti ya kiswahili. Kwa mfano zomeazomea ya JK haijaandikwa katika magazeti ya kiingereza. Ila ukisoma kwa karibu, Reuters inaonekana kusema ushindi wake JK utatokana na uchakachuaji na hardliners kukataa kung'oka so "probably bouts of unrest expected"... na pia imeandika health of Kikwete ina walakini kwani amecollapse publicly....
  Ukwlei ni kuwa: we have now truly graduated to be a banana republic with ailing president clinging to power and security forces messing with elections.. Haiti anyone?
   
 6. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Reuters nao wamehongwa na CCM au wamepewa khanga na T-shirts na kubebwa kweli malori.
   
 7. p

  pierre JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Data anazotumia ni za April and June wakati Slaa hajateuliwa kugombea uras,watumie data za 2005 za REDET inaruhusiwa,issue ni kuwa wametumia data ambazo sio sahihi.

  TUNATAKA MABADILIKO.TUNATAKA MABADILIKO.ENOUGH IS ENOUGH.WE NEED CHANGES
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,803
  Trophy Points: 280
  mhhh!! chagueni viongozi msichague chama! jimbo langu ni ubungo~~ ubunge nampa myika, uraisi kikwete! slaa kusema kweli bado bado kwanza ...
   
 9. e

  elly1978 Senior Member

  #9
  Oct 1, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 180
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  POLITICS AND THE ELECTION

  Two opinion polls this year show Kikwete, 60, would beat opposition candidates by a comfortable margin. A poll by the University of Dar es Salaam in April showed 77.2 per cent of Tanzanians would vote for him.

  Synovate said in June that Kikwete's popularity had declined to 69 percent from a previous 73 percent. This partly reflected criticism of how he handled threats by labour unions of a nationwide strike over pay and conditions.

  My take:
  Wanajanvi nadhani hii article imepitwa na wakati. Kipindi tajwa i.e. April and June, Rais Mtarajiwa Slaa hakuwa kwenye picture. Kwa kuingia kwake inawezekana JK popularity imeshuka by 28% i.e. from 69% to 41%. Go my president, Go Slaa, rudisha heshima na nidhamu Tanzania
   
 10. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Funny, data dates back to June and the story is fairly on the government failures. Albeit this the author predicts an easy win! If rigging, yes. Reality on ground, NO! if the author began by the analysis and then concluded at the end, his opinion would have been different. But he starts with prediction (terriby, with an alternative hypothesis...). If at the beginning he developed a null hypothesis that is Kikwete not re-electable...conservative in nature..that woulld be testable!


  SLAA FOR PRESIDENCY
   
 11. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Actually inawezekana wame-update tu kiaina, walishaandika hii analysis zamani wameiongezea few comments kwa mfano angalia hapa
  Hawajaandika how many times!!!
  Ina maana waliandika mara 2 before the launch of CCM campaign sasa alipodondoka pale Jangwani na ikajulikana kuwa aliwahi kuanguka akiwa waziri wa mambo ya nje, walifuta na wakasahau kuingiza data. Ndo maana nikiisoma naona kama hii report haiko coherent sana.
  Hata inavyoanza Kikwete's health inaanza kusema atashinda then issue ya ku-collapse.. huyu intern wa Reuters hajafanya kazi nzuri.
  BTW kuna jamaa namjua Mbongo ambaye reports for Reuters huyo kuhongwa ni kazi ndogo.
  Mi nasema, hamna haja ya kusikiliza watu wa nje wao hawawezi kujua nchi yetu na ukweli on the ground kama sisi wenyewe. It is time we stop looking for outsiders to tell us what to do, what to think etc. And it is time for Tanzania to surprise the world!
   
 12. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  KIKWETE NAYE JE ATAWEZA KUWA RAISI WA TANZANIA
  1. RAISI Kikwete HAWEZI KUONGEA ZAIDI YA DAKIKA. 10 kwa kipindi hiki. Akichaguliwa ni nani ajuaye kuwa itafikia mahali ziwe dk. 5 tu.
  2. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa ni kupuuza watanzania kwa kutokujali.
  3. Kule kuzidishiwa nguvu ya majini bado hajakanusha na tunasikia ameendelea kuanguka ila haitangazwi.
  4. Kama kweli tunampenda rais Kikwete tumtakie maisha marefu aounguziwe majukumu mazito kama ya uraisi. Nawaomba wananchi tumpendao rais tujali afya yake.
  MATAMSHI YAKE YANAONYESHE KUFICHA JAMBO KWA WANAOJUA SAIKOLOJIA.
  5. Wako wanaosema kuwa rais ananyanyapaa watu wa ukimwi kwa kusema ni kiherehere chao.
  6. Na hata watoto kupata mimba wakiwa mashuleni ni kiherehere chao.
  7. Watu wanaweza kufikiri kwa kuwashambulia wanaoogua ukimwi, hasa kwa mtu mwenye heshima ya uraisi ni kujaribu kufikisha ujumbe fulani au kuficha jambo fulani. Kwani hekima ya kawaida inauzuia ulimi kuwaumiza wagonjwa.
  TAFADHALI KUONYESHA UPENDO WETU KWA RAISI WETU TUMPUMZISHE KWANI NI VIGUMU YEYE KUTAKA KUPUMZIKA.[/COLOR]
  Ni KAMA MTOTO MDOGO KUMPELEKA KWENYE SINDANO HAPENDI. INABIDI UMSHIKE KWA NGUVU.
   
 13. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Reuters, mara Reuters! they have share in our country and they just wanna keep drilling our gold, diamonds, Nickel, Tanzanite and Uranium by funding this kind of news to be published to the rest of world.

  Ukweli ni kwamba jamaa wanajitahidi kumsafisha jamaa ili Dr Slaa asiwakurupushe toka kweny neema zetu. Acha Dr Slaa awafukuze tuanze moja, tunaweza mbona. tatizo la hawa jamaa wakishaonja vya bure hawataki tena kuambiwa kitu. Now their tym is counting down,

  Say no to this Reuter, say no more free taxes, say no to JK$CCM. Dr Slaa is our hope in 2010.
   
 14. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #14
  Oct 1, 2010
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ''Two opinion polls this year show Kikwete, 60, would beat opposition candidates by a comfortable margin. A poll by the University of Dar es Salaam in April showed 77.2 per cent of Tanzanians would vote for him. Synovate said in June that Kikwete's popularity had declined to 69 percent from a previous 73 percent. This partly reflected criticism of how he handled threats by labour unions of a nationwide strike over pay and conditions.!!''


  Again problem of context analysis here. The analysis is based on the polls made in April and June, while we had only one known presidential candidate-JK. Things may have changed greatly. Worse stiill, the polls were conducted and declared by organisations whose credibility has been clearly compromised and publicly questioned.
   
 15. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  By "FUMBUKA NG'WANAKILALA".The name speaks volumes.
   
 16. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  need me to say more?
   
 17. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  absolutely!
   
 18. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Need not! Crystal clear
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  If and only if his (Kikwete) family alone vote
   
 20. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Poor you! Born Poor. My mama is poor. My papa is poor. Never seen my parents rich. My government keep promising good life .... A holy grail. I am sick and tired

  Join me then or die poor
   
Loading...