Ati mie nashangaa watu wanasema Mramba alileta barabara kiupendeleo as if it wasn't in a TANROAD plan! Let me tell you guys these facts:
First Kilimanjaro is the smallest region behind Dar es...
Chadema zingitieni yafuatayo muda huu wa kuelekea kupiga kura.
1. Ongezeni juhusi zaidi za kampeni na kujibu siasa zote za maji taka
2. Andaeni mikakati ya kulinda kura ili zisichakachuliwe
3...
Nilikua nasikiliza taarifa asubuhi hii kutoka Radio Free Africa, nimeshtushwa na taarifa ya mtu aliyejitambulisha kua ni mkurugenzi wa taasisi inayojishughulisha na utafiti (CACT) kama wa REDET)...
kutokana na picha za mkutano wa tumbatu zilizowekwa kwenye mzalendo.net kuna hii hapa
mm sijaelewa kulikoni?
ina maana kweli CUF ni CCM B?
au kwa jamhuri ya muungano wazee mumeamua kumtosa...
hiv kuna watu kama vile wamefanyiwa exchange ya damu na kuwekewa damu ya CCM i dnt know wat inakuwa hivi.....,
hivi kwa lipi bora ambalo hawa CCM wamelifanya la kutunufaisha sisi kama watanzania...
jamani jitahidini kufuata kiapo hiki. na tumieni email zenu kuwatumia (to forward) ndugu, jamaa na marafiki ZETU KABLA YA SIKU YA KUPIGA KURA. NDUGU ZETU WANAWEZA PIA KUPRINT NA KUZAMBAZA KWA WATU...
Kuna mtu aliwahi kusema hapa kuwa kuna makubaliano ndani ya CCM kuwa na uwakilishi sawa wa dini kubwa nchini za uislam na ukristo. Matokeo ya uchaguzi Dodoma yanaonyesha kuwa waislam sasa...
Kutokana SISIMU kuchafua na kuhatarisha amani kwa kutuma msg za vitisho kwa baadhi ya numba za simu.Naomba wote wasizingatie hizo Msg na waendelee kumchagua kwa kishindo Dr Slaa.Sisimu imeona...
Slaa attacked in stinging message
By ABDULWAKIL SAIBOKO, 9th October 2010 @ 12:08 , Total hits: 105
THE Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has disassociated itself with a...
Kulingana na taarifa iliyosomwa leo na channel Ten, Mama Salma Kikwete akiwa kwenye ukumbi na wana UWT wa Tabora alionyesha kupigwa tafurani ya kwanini Ilani ya CCM kwenye eneo la kupunguza vifo...
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
Je hali inayoelezwa hapo chini ni kweli?. Kuna kitu muhimu kimeachwa hapo chini ambacho kinaathiri maisha ya mtanzania ambaye vitu vingi vinatoka nje, nacho ni kushuka...
Chadema wamedai kuwa takwimu za kitaalamu zinaonyesha wapigakura wapo milioni kumi na sita lakini daftari laonyesha milioni kumi na tisa.
Hivyo kuna karibu milioni tatu ambazo huenda zimeongezwa...
Kwa kweli mambo yanayofanywa na Kikwete na CCM yake yanazidi kunichefua sana. Nakumbuka huyu JK kupitia kinana walisema hawawezi kushiriki midahalo kwa sababu ya ratiba yao imejaa mpaka siku ya...
Dk.Slaa apata wakati mgumu
Na Muhibu Said
10th October 2010
Aliyemnadi kwa Chadema akataliwa
Aambiwa chaguo ni NCCR-Mageuzi
Ni yale yale yaliyomkuta kule Kyela...
Nadhani nyote mnafahamu kwamba jamaa aliwahi kusema kawekewa vinasa sauti kule hotel 56 Dodoma.Nilitaka kufahamu nani mmiliki wa Alba Apartments alipokuwa anaishi Dr.Slaa na Josephine na watoto...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Jakaya Kikwete ,akiwa ameketi chini ardhini kwenye vumbi na nyasi ili kumsikiliza Mama Sara Mageni mkazi wa Wilaya ya Makete, wakati...
I came across this analysis some days back an I thought the home of great thinkers can think about it.
Jean-Bertrand Aristide, the prophet of deception
Cambridge, Massachusetts - From a distance...
Can CCM tell us why hatuna vitambulisho vya utaifa ambavyo hupewa kila anayefikisha miaka 18? Hivi hii nchi imeenda kwa mbwa? kwanini suala hili halitiliwi maanani kama tuna wapiga kura millioni...