Hivi kwa nini hatuna vitambulisho vya utaifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini hatuna vitambulisho vya utaifa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Oct 10, 2010.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,085
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  Can CCM tell us why hatuna vitambulisho vya utaifa ambavyo hupewa kila anayefikisha miaka 18? Hivi hii nchi imeenda kwa mbwa? kwanini suala hili halitiliwi maanani kama tuna wapiga kura millioni 19 na watu wanashindwa kuona kuna wizi umetendeka jamani tutatawaliwa na hawa wezi kama ilivyo Angola na MPLA. Tuamke jamani kuuliza hizi figure zimetoka wapi? haiwezekani uchaguzi wa 2005 kuwa na wapiga kura wasiozidi millioni 13 leo hii number ime-shoot up to millioni 19 hiyo millioni 6 zaidi inatoka wapi? wakati life expectancy ya Mtanzania ni miaka isiyozidi 55?
   
Loading...