Elections 2010 Mh J M Kikwete - Tangaza Uko Tayari Kupokea Matokeo Kuepusha Vurugu!

Njilembera

JF-Expert Member
May 10, 2008
1,496
607
Nimesoma mada ninayoiweka kwenye link hapa, ambayo imetulia sana, ikichambua kwa nini kauli ya Shimbo imesababisha majadiliano mazito. Kumbe ni Kikwete pekee ambaye amengangania USHINDI NI LAZIMA. Kumbe JK angeungana na wenzie, basi uungwana huu ungeweza kujenga imani kubwa kwa wananchi badala ya hofu iliyojijenga sasa ambayo JWTZ wameanza kuinusa na kuienzi.

Soma ndani ya Raia Mwema: Dk. Slaa alipaswa kumpa pongezi Lt. Jen. Shimbo
 
JK tunamhitaji ajitokeze naye kusema kama yupo tayari kuyakubali matokeo ya aina yoyote ile yatakayokuja hata kama Dr. Slaa atakuwa amemsarambatisha vilivyo:-

Kumbe ni Kikwete pekee ambaye amengangania USHINDI NI LAZIMA. Kumbe JK angeungana na wenzie, basi uungwana huu ungeweza kujenga imani kubwa kwa wananchi badala ya hofu iliyojijenga sasa ambayo JWTZ wameanza kuinusa na kuienzi.
 
JK tunamhitaji ajitokeze naye kusema kama yupo tayari kuyakubali matokeo ya aina yoyote ile yatakayokuja hata kama Dr. Slaa atakuwa amemsarambatisha vilivyo:-

Mzee ana ego huyo kama ya ...... (jina kapuni). Kikwete hawezi kukubali matokeo kama akishindwa... atatuma wanajeshi kwenye streets za bongo "walinde amani"
 
Attachments

  • 2241536655_540d01c2cf.JPG
    2241536655_540d01c2cf.JPG
    26.3 KB · Views: 21
  • ngwilizi1.jpg
    ngwilizi1.jpg
    7 KB · Views: 20
Jamani mbona mnanionea??? najua nishashindwa, mnataka nitangaze hadharani kabla ya uchaguzi?? itakuwa aibu kwangu, subirini nitakubali matokeo ambayo tayari najua kuwa nimechemsha, niliokula nao siwaoni wameniacha pekee yangu na familia yangu ambayo sidhani kama ni itasadia yote ni maisha, jamani mtandao mnaniaacha hivi hivi?????????? tulikula pamoja, tulifurahi pamoja, hapa mnaniachaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!mafisadi hamuaminiki, RA, EL mko wapi???????????????
 
ha ha ha ha ha ha haaaaa!!! nimeipenda hiyo.
 
Back
Top Bottom