Taswira za viongozi wetu kuelekea uchaguzi mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taswira za viongozi wetu kuelekea uchaguzi mkuu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Oct 9, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  taswira ya jk
  namwona jk :
  • anamwagiza shimbo awatishe wananchi
  • anamtumia sheikh yahya kutabiri ushindi wake
  • synovate na redet anawalazimisha kumpikia kura za maoni
  • anavunja sheria ya uchaguzi na ile ya gharama za uchaguzi
  • anatoa ahadi akisahau hajatekeleza alizoahidi kwenye uchaguzi uliopita
  • anashindwa kutambua kuwa watu wote kwenye kampeni zake wanaletwa kwa malori na kuvutiwa na wasnii na sio sera zake
  • anashindwa kutambua kuwa watz si mabwege tena,na wanataka mabadiliko
  dr slaa
  namwona dr slaa:
  • anajaribu kuwajengea fikra za kizalendo wananchi
  • anaguswa na maisha duni ya watz na kuwaahidi mabadiliko
  • anaondoa fikra mgando za siasa za maji taka ambazo ndizo silaha ya chama kizee
  • anaonyesha kiongozi si kuuza sura kama kujipenyeza kwenye matamasha mbalimbali bali ni ubunifu na umakini
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  Huyu Jk tunaachana naye hivi karibuni:-

   
Loading...