Je wajua hili kuhusu CCM??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wajua hili kuhusu CCM???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Quemu, Oct 8, 2010.

 1. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ya kwamba....

  Mpaka leo hii CCM wameshatumia TZS Billion 127 kwenye kampeni zao!!!

  Je kwa namba hizi elimu na matibabu bure haiwezakani??
   
 2. Mentee

  Mentee Senior Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 142
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Inawezekana na kubaki kununulia magari ya kubebea wagonjwa. Na salio dogo linaweza kutumika kujenga vyoo Mwanza. Tatizo ni upeo mdogo wa Bwana Kinana na Makamba... hivi shule walisoma wapi jamani? Kauli zao ni kama za watoto wa Shule za Msingi.
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mi haya sitaki kuzungumzia tena kilichobaki nikuwachapa bakora hiyo tarehe 31 tena bila huruma!
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hela aliyoomba mwaka jana ya kuimarisha uchumi trilioni kadhaa yaani bado hajatumia hata trilioni moja? tutakoma mpa uchaguzi ni zamu yake na familia kutesa ila kuanzia 31 ni kilio na kusaga meno.
   
 5. Mtoka Mbali

  Mtoka Mbali JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nawatami sana hawa jamaa wa sisiem kuzidi kupinga swala la elimu bure wakati wao wanazidi kutumia mabilion kwenye kampeni. Wakae wakijua Rais Slaa atawadai hayo mabilion
   
 6. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,860
  Likes Received: 2,786
  Trophy Points: 280
  wanunue magari ya kubebea wagonjwa wakati wameahidi bajaj kwa akina mama wajawazito!!! Eti akina mama nao bado wanaiunga mkono CCM Jamani tumerogwa??? Kwa vyoo Mwanza mdogo wangu nakupinga Mwanza iko juuu naona una siku nyingi hujafika!!! Lakini naona kama Makamba amenyamaza sijui kwa nini??
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,177
  Likes Received: 417,601
  Trophy Points: 280
  Mwenzetu hizo takwimu umezitoa wapi za TShs 127 bilioni?

  Kabla hata sijaanza kuchangia hoja.........
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Mbona wamenunua criuser mkonga zaidi ya 200? wanashindwa vipi kununua ambulance zaidi ya 1000, kwani kama chama kinaweza 200 je serekali itashindwavipi 1000 ?
   
Loading...