Elections 2010 Moja ya mafanikio makubwa ya CCM ni hili

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Conclusion
The findings of Uwezo’s large scale assessment involving over 20,000 households and over 40,000 children reveal that there is a crisis in education in Tanzania. By the time they enter Standard 3, 100% of children should have basic competencies in literacy and numeracy. The reality is that by Standard 3, 7 out of every 10 children cannot read basic Swahili, 9 out of every 10 children cannot read basic English, and 8 out of every 10 children cannot do basic mathematics. Even by the time they complete primary education, large numbers of children cannot do what they should have mastered five years earlier in Standard 2. Breakdowns by districts reveal large disparities, with some districts performing far below the national average.
The stark reality is that, despite the enormous advances in education made possible by investing trillions of shillings each year, the vast majority of children in Tanzania are not learning.

Source: http://www.uwezo.net/uploads/files/Uwezo Key Findings Sept 16.pdf
 
WATU WANAOKUBALI KUDANGANYWA HAWANA MAONO JUU YA MAISHA YAO WENYEWE," Arch bishop Dr. Mokiwa, ACT

msidanganyike na ccm , pigeni kura ya mabadiliko
 


Tuko interested zaidi kupigiwa makofi na kushangiliwa, wakati tunaoza, infact tunaozeshwa na utawala wa KIJANI...Mungu saidia watoto wetu...Mungu saidia tupate utawala mpya!
 
onclusion
The findings of Uwezo's large scale assessment involving over 20,000 households and over 40,000 children reveal that there is a crisis in education in Tanzania. By the time they enter Standard 3, 100% of children should have basic competencies in literacy and numeracy. The reality is that by Standard 3, 7 out of every 10 children cannot read basic Swahili, 9 out of every 10 children cannot read basic English, and 8 out of every 10 children cannot do basic mathematics. Even by the time they complete primary education, large numbers of children cannot do what they should have mastered five years earlier in Standard 2. Breakdowns by districts reveal large disparities, with some districts performing far below the national average.
The stark reality is that, despite the enormous advances in education made possible by investing trillions of shillings each year, the vast majority of children in Tanzania are not learning.

Mtaji wa CCM kisiasa ni elimu duni kwa sababu ni rahisi kuwatawala watu ambao ni mbumbumbu. Nchi gani itakubali mtu wa mzaha mzaha kama JK kuwa Raisi wao kama siyo kushuka kwa elimu.

Hivi sasa baraza la Mitihani limeteremsha alama za kufaulu ili ionekane idadi ya wanaofaulu imeongezeka. Miaka yetu ya sabini na themanini alama ya A ilikuwa kwa wale waliopata kati ya maksi themanini na kuendelea lakini sasa hivi alama ya C ya enzi zetu yaani kati ya maksi sitini hadi sabini ndiyo A. Hilo taifa laelekea wapi?

Shule za kata huongezewa maksi kwa kile kinachoitwa "posho ya mazingira magumu" katika kukejeli elimu itolewayo huko. Lengo ni kuonyesha shule hizo zinafanya vizuri wakati hazina waalimu wala vifaa vya kufundishia. Jk na CCM yake wamekuwa wataalamu wa kupika takwimu kama zile za REDET na zile za Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Mgombea binafsi na matokeo yake taifa linaongezeka umbumbumbu.


Chagua Chadema Chagua maendeleo ya kweli siyo ya CCM ya makaratasi tuuuuuuuu......................
Kuichagua CCM kunahitaji ziwe zimefyatuka kidogo. Mtu wa kawaida hawezi hata kuitaja jina lake kutokana na udhalimu inayotufanyia kila siku. Sasa hivi kubaku madarakani kutategemea sana uchakachuaji wa matokeo wakishindwa basi mwisho wao utakuwa umefika.
 
Je, Wapo wanafunzi ambao wako sekondari shule za kata lakini hawajui kusoma? iko mtu mimi ambia hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom