Ziara za mama salma kikwete na magari ya serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ziara za mama salma kikwete na magari ya serikali

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Wakwetu, Oct 8, 2010.

 1. W

  Wakwetu Senior Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimengalia kwa makini na kutafakari sana kisha nikaona kuwa kuna watu wanadhani kuwa watanzania wote ni wajinga kwa kiwango wanachotufikiria wao. Sasa hivi mama Salma Kikwete ana ziara Tanzania nzima. Magari anayotumia ni mazuri sana na yapo zaidi ya manne. yale magari hayaingii akilini kuwa ni ya chama cha mapinduzi. Ni magari ya SERIKALI yaliyonunuliwa na kodi za wananchi wavuja jasho ila wanatudanganya kwa kubandika namba za kiraia. Badala ya magari hayo kufanya kazi za serikali leo yanazunguka kufanya kampeni wilaya kwa wilaya. Kwa nini yasihudumie wananchi?
  Kwa nini wanatufanya wajinga? anatembelea wilaya na kuongea na kina mama. Je CCM ndio wamemuwezesha au ni pamoja na serikali maana ubavu wake ndio mkuu wa kaya.
   
 2. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Crap!
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Na siyo hivyo tu, eti akifika mkoani au wilayani anasomewa taarifa ya mkoa au wilaya. Hata kitoto chao ndivyo kinavyofanya. Wanawadhalilisha sana viongozi wa serikali. Ndiyo tatizo la mama wa kiswahili (pwani).
   
 4. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  "Ufalme waingia TZ" Fimbo yako ni 310/10/2010. Period.
   
 5. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unategemea nini toka kwa mtu anayetumia milioni 22 kukodi ndege ya serikali kwa ajili ya safari ya masaa matano tu?
   
Loading...