Mabango ya Kumenzi Nyerere- 14/10/2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabango ya Kumenzi Nyerere- 14/10/2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mp Kalix2, Oct 9, 2010.

 1. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,211
  Likes Received: 1,145
  Trophy Points: 280
  Katika hali ya kuenzi mwalimu JK Nyerere wana Jf inatubidi kuandaa mabango yatakayofikisha ujumbe murua kwa walioshindwa kumenzi Mwalimu kwa vitendo.Wanandugu tusaidieni katika hili.
  Bango NO.
  1.Elimu bure mpaka Chuo Kikuu inawezekana -Jk Nyerere alionyesha njia.
  2.Mafisadi 31/10/2010 ndiyo mwisho -Mwalimu alipambana mpaka siku ya umauti
  3.......

  Jf Karibuni
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  3.... EL hata kwa udi na uvumba asije kuachiwa kuongaza taifa la Tanzania!!
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  4. Kikwete the worst president ever in Tanzania, vote him out
   
 4. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunahitaji Reli ya kati isaidie watanzania.
   
 5. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  5. kikwete aendelee kujifunza kuongoza hajahitimu bado
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Mabango yenye tija ni kuhamasisha wapigakura kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura na kuchagua Chadema na Dr. Slaa.

  Bila ya kufanya hivyo hayo mabango unayoyapendekeza hayatakuwa na tija vumilivu
   
 7. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,211
  Likes Received: 1,145
  Trophy Points: 280
  Yakiwa pamoja na ujumbe unaopendekezwa yaweza leta tija.Changia kwa kuongeza yanayo hamasisha.
   
 8. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. Hatutarudi kupanga mawe na kufukuza magari ya ugawaji tena!
  2. Atakayepiga marufuku vyama vya siasa tutamnyonga or tutamnyonya tigo!
  3. Haendi mtu jela kwa sababu za kisiasa (Hanga, Titi, Babu etc)
  4. Mkimbizi wa mwisho wa kisiasa alikuwa Kambona na hatotokea mwengine
  5. No more ndala za matairi
  6. No more wallet za mifuko ya maziwa
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mchagueni kiongozi anayekerwa na shida/umasikini wa watu wake.
  Awaambie rafikize kuwa Ikulu si pango la walanguzi
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,276
  Likes Received: 19,423
  Trophy Points: 280
  Makamba anatofauti gani na babu seya???
  Hili bango ntalibeba hata mimi
  (mods please msinibani ni hisia tu)
   
Loading...