Bendera za CCM zazua kizaazaa kenye Daladala Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bendera za CCM zazua kizaazaa kenye Daladala Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulimbo, Oct 3, 2010.

 1. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Leo nilipakia kidaladala, baada ya muda nilisikia driver akizungumza na mwenzake ndanii ya gari kuwa leo nilimtumrudishia tajiri yangu funguo za gari kwa sababu alifngia bendera ya ccm kwenye gari analoliendesha na alipomwambia tajiri yake aiondoe hiyo bendera, tajiri akamjibu gari ni lake na anauwezo wa kufanya chochote kwenye gari lake. Ndipo huyo dereva akamrudishia fungua ni kumwambia kuwa hawezi kuendesha gari lenye bendera ya ccm kwani abiria wengi kwa sasa hawapakii magari yanye bendera ya ccm, kwani wameichukia sana.

  Nilipojaribu kufuatilia zaidi mazungumzo ya abiria wengine, niligudua kuwa wengi wanakerwa na tabia ya watu kubandika/kufunga bendera za ccm kwenye magari na baadhi yao walidai kuwa hapandi kabisa magari yenye bendera hiyo.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  To hell with stinky CCM.
   
 3. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahahha! safi sana na ninavyoijua Arusha wakigoma wamegoma. Ngoja tusubiri hapo October 31.
   
 4. sheiza

  sheiza JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,964
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  mi naishi huku arusha ingawa si mwenyeji....ukweli ni kuwa ukiingia huu mji kama ni mgeni utashangaa maana kila basi na pikipiki zimening'inizwa bendera za chadema...haya ni maajabu sana...
   
 5. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145

  Ingawa sipo huko A town ila nilisikia kwa mdau mmoja kuwa bendera nyingi za chadema zimemwagwa bure huku CCM wakizitoa kwa kuwapa hela wananchi,

  mie napenda kusema sidhani ni kweli watu hawapandi hizo daladala ati kwakuwa zina bendera ya CCM haiwezekani kabisa wandugu yaani mie niko kituoni niache kuwahi mjini kwakuwa daladala ina bendera ya CCM khaaa huo sasa uta kuwa ulimbukeni,

  kwa upande wa pili hili liko wazi kuwa watu wanaonekana wamekichoka CCM ila sasa je wamejiandikisha kupiga kura au nao ndio walewale wa lile tangazo ulipiga kuraaa???? khaaa mei niache kuingiza siku nika pige kura????

  wananchi wamekosa elimu ya urai esp upigaji wa kura wananchi hawaju kabisa haki zao ni wanaongea tuu huko uswahilini.


   
 6. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  ni kweli .bendera za ccm ziko kwenye malori ya mchnga na maji machafu. Bendera za Chadema ndio zimejaa mji mzima. Ccm is long gone here.
   
 7. M

  Mpwa Member

  #7
  Oct 3, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Nikweli kabisa huku Acity nimsala ,nipo hapa sabena nikisubiri kifodi kuelekea mbauda,na kila kifodi chenye bendera ya ccm watu hawapandi
   
 8. h

  hagonga Senior Member

  #8
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli, hata mimi leo nilikuwa A town, binafsi sifurahii kupanda hiace yenye bendera ya ccm, nilikuwa naagalia kabla ya kupanda kwa sababu magari yako mengi, hivyo nina uhuru wa kuchagua.
  Nahisi ni kweli bendera yaweza kuwa sababu ya kupata abiria wengi, kwani kuna hiace mmoja ilikuwa na bendera mbili, labda alitaka abiria wa vyama vyote viwili.
   
 9. m

  marymar Member

  #9
  Oct 3, 2010
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kusema ukweli hata mimi sipandi hilo gari lakini kutokana na matatizo ya usafiri wakati mwingine hasa jioni inabidi upande tu kishingo upande.
   
 10. m

  marymar Member

  #10
  Oct 3, 2010
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi sipandi labda usafiri uwe hakuna
   
 11. s

  sheka leonard Member

  #11
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mimi siwezi kupanda kiford chenye bendera ya ccm. sitaki kabisa nibora niende kwa miguu mjini ila kusapoti mafisadi siwezi.
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Oct 3, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Fainali ni Okt 31!
   
 13. n

  nyangu New Member

  #13
  Oct 3, 2010
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa nyinyi watu 4 musipoponda magari yenye bendera za CCM basi kaeni hapo stendi mungojee vibasi vyenye bendera za chadema!!! na sijui ni vingapi!!! na utakuwa mjinga kiasi gani upande basi ambalo litasimamishwa na Trafik uchelewe safari yako?
   
 14. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Roba za mbao nasikia arusha ndio wanongoza ngoje sasa mwache kupanda hivyo vo ford mwone mtafika huko makwenu
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,748
  Trophy Points: 280
  Siku za CCM za kuendelea kutudhulumu zahesabikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahahaaaaah!
   
 17. R

  Reyes Senior Member

  #17
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi sipandi gari lenye bendera ya CCM
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Katika biashara kama iyo then unaitaji kuwa neutral kwa otherwise utawakwaza wengi
   
 19. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu huwezi amini, mimi binafsi naichukia kabisaaaaa rangi ya kijani, achilia mbali bendera, I hate it with all my heart, kikubwa zaidi inanikumbusha ile mipicha mikubwaaa iliyo jaa kama uchafu kila baada ya hatua kumi, hasa barabara ya samnujoma (aka kwa kakobe) na nchi nzima kwa ujumla
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,798
  Trophy Points: 280
  hata mm sipandi gari yenye picha ya ccm
   
Loading...