Kikwete mgeni rasmi? Taifa stars haitakwepa kichapo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete mgeni rasmi? Taifa stars haitakwepa kichapo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Oct 9, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Magazeti ya leo yameandika kwamba JK atahudhuria gemu kati ya Stars na Morocco.

  Hapo Watanzania tuhesabu kuwa bado timu yetu ina pointi 1 kwa sababu JK ana gundu.
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  Kama Stars wanataka kushinda basi wamweleze JK asiende maana anataka kuigeuza mechi hiyo mtaji wa kisiasa na Mwenyezi Mungu hatampa nafasi hiyo na matokeo yake ni kuwa tutafungwa siyo chini ya mabao matatu bila majibu ili kumdhalilisha tu.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Huyu jamaa atatufa hapo uwanjani, akidondoka tena je?
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Naitakia ushindi taifa stars
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Hata mimi naitakia ushindi. Lakini with JK in, chances are slim
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  slaa hataki kwenda kuhamasisha ushindi?
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni kazi ya kocha wa timu
   
 8. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #8
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Siendi uwanjani, sitaki kuinajisi nafsi yangu kama nitamuona anachekacheka, naweza nikapandwa na mzuka.
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  He is not that much cheap
   
 10. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  NINGESHAURI DR Slaa aende uwanjani, am-neutralize kikwete na gundu lake vinginevyo tumepoteza
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Akienda Dr. Slaa mechi itavunjika.
   
 12. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Duh!! hapo Mbwa kala Mbwa...))
   
 13. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nadhani kwenda kwa Kikwete uwanjani ni kawaida lakini kwenda kwa Dr. Slaa itaonekana siasa maana hatukuwa tukimwona kabla!
   
 14. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani huyo JK ndiyo anacheza namba gani katika first IX?

  Jamani hata upumbavu una mipaka yake na sasa huu utumbo na upupu ni just beyond those mipakas!
   
 15. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora usije uwanjani maana migundu kama nyie ndiyo unayoleta noma uwanjani!
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kudadeki!
   
 17. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #17
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280

  pia nahofia kukuona wewe kudadeki coz NTADINDISHA halafu itakuwa lawama, NAWEZA NKABAKA.
   
 18. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukidinda utatiwa madole tu!
   
 19. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180

  kigogo ur so bravoooooo,slaa huwa hajipendekezi coz anajiamini
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Jk apo ndo umemfikisha ndo maana tumefungwa gundu lake ilo na litahamia tar 31 oct habari ndo iyoooooooooo
   
Loading...