Elections 2010 Kukosekana kwa Tido BBC kwaikosesha CCM "ushindi" mwingine wa kura ya maoni

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234

Ndugu wanaJF:

Uchaguzi wa mwaka kuna mapungufu makubwa kwa upande wa CCM -- kukosekana kwa mpiga debe wao mkubwa aliyekuwa BBC London Tido Mhando ambaye katika chaguzi za huko nyuma alikuwa akijishghulisha sana kufanya midahalo na kuendesha kura za maoni ili kuonyesha chama chake kinapeta -- au niseme sahihi -- kutoa njia kwa chama chake kishinde tu kwa vyovyote vile.

Mwaka huu yuko kwenye vyombo vya habari vya umma wa Tanzania, hivyo inamwia vigumu sana kufanya hivyo bila kuonekana kupendelea.
 
Tido anapendelea sana hata hapo alipo. Hakuna jinsi ila siku zake zahesabika.
 
hapo alipo japo anamfinyia silaa ajue ndiye bosi wake na atageuka mbayuwayu ghafla 1.11.2010
 
Ndugu wanaJF:

Uchaguzi wa mwaka kuna mapungufu makubwa kwa upande wa CCM -- kukosekana kwa mpiga debe wao mkubwa aliyekuwa BBC London Tido Mhando ambaye katika chaguzi za huko nyuma alikuwa akijishghulisha sana kufanya midahalo na kuendesha kura za maoni ili kuonyesha chama chake kinapeta -- au niseme sahihi -- kutoa njia kwa chama chake kishinde tu kwa vyovyote vile.

Mwaka huu yuko kwenye vyombo vya habari vya umma wa Tanzania, hivyo inamwia vigumu sana kufanya hivyo bila kuonekana kupendelea.

Na ndo maana CCM wamekuwa wakihaha kutafuta "ushindi" wa kura za maoni kwa kuitumia taasisi yake ya REDET baada ya ile binafsi ya Synovate kupigwa stop baada ya kuonekana itakuja na matokeo hasi kwa CCM. Angekuwapo Tido huko BBC mara moja angekuja na matokeo ya "ushindi" kwa JK baada ya 'kufanya utafiti kwa njia ya simu kutoka kwa wasikilizaji.'

Ukisoma gazeti la MwanaHalisi la wiki huu utaona kuwa REDET ilikuwa waje na matokeo ya utafiti wao wiki mbili kabla ya uchaguzi -- lakini inaonekana sasa wamewahi kwa sababu ya kukosekana kwa matokeo ya REDET.
 
Angekuwa BBC angemwita JK London na kufanya naye mahojiano very biased, kama alivyofanya alipomhoji rafiki yake EL mwezi July.
 
TIDO, ni mtu alikuwa na reputation nzuri lakini uroho na woga, yaani nidhamu ya woga umemfanya hata akifa watu wasimkumbuke kabisaa. Unajua ukifa katika usawa yaani palipo na ukweli unapasema na palipo na pasipo na ukweli unapasema ndio kufa kiume watu wanabaki kukukumbuka. Sasa ndo hivyo no respect to community
 
Ukiondoa kushupalia midahalo, siafiki hii kauli:-

Mwaka huu yuko kwenye vyombo vya habari vya umma wa Tanzania, hivyo inamwia vigumu sana kufanya hivyo bila kuonekana kupendelea.
 
Naomba tupeleke rai kwa BBC waweke kura ya maoni kwenye mtandao wao wa BBC swahili na wawe wanatupa kilishe nyuma (feedback) kila siku.
 
wacha waendelee kupendelea kwani EPA za ccm zinawatesa......mwisho wao waja................naamini watakuwa tayari kusema tulirubuniwa na ccm kwa sababu ya umasikini wetu na sasa sisi ni raia safi
 
TBC bado haijawa independent kiasi hicho, bado inajiona ipo kulinda maslahi ya waliopo madarakani. Mpaka hapo watanzania tutakapo badili serikali ndo wataanza kujua kuwa chombo cha umma maana yake nini
 
ndugu wanajf:

Uchaguzi wa mwaka kuna mapungufu makubwa kwa upande wa ccm -- kukosekana kwa mpiga debe wao mkubwa aliyekuwa bbc london tido mhando ambaye katika chaguzi za huko nyuma alikuwa akijishghulisha sana kufanya midahalo na kuendesha kura za maoni ili kuonyesha chama chake kinapeta -- au niseme sahihi -- kutoa njia kwa chama chake kishinde tu kwa vyovyote vile.

Mwaka huu yuko kwenye vyombo vya habari vya umma wa tanzania, hivyo inamwia vigumu sana kufanya hivyo bila kuonekana kupendelea.
Mh maslahi yake kwanza.
 
TIDO, ni mtu alikuwa na reputation nzuri lakini uroho na woga, yaani nidhamu ya woga umemfanya hata akifa watu wasimkumbuke kabisaa. Unajua ukifa katika usawa yaani palipo na ukweli unapasema na palipo na pasipo na ukweli unapasema ndio kufa kiume watu wanabaki kukukumbuka. Sasa ndo hivyo no respect to community

Labda inawezekana kuwa na reputation nzuri, ila kwa baadhi ya waliofanya nae kazi wanamjua vizuri tabia yake na wala hawashangai anachokifanya TBC
 
Back
Top Bottom