Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

JK: A servile agent of Neo- Colonialism. Of all the disqualification for JK quest to retain his presidency lies in his unconditional capitulation to Neo-Colonialism. Whether it is his...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
PCCB fanyia kazi hili suala haraka...Mgombea wa Udiwani Kata ya Sinza kupitia CCM-Salim Mwaking'inda asubuhi hii amepita kitua cha taxi pale Sinza mori na kugawa sh 1000 kwa kila dereva wa Taxi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani, nimeiona hii headline katika gazeti la fisadi papa RA MTANZANIA leo hii: 'CCM yampa meno Shimbo.' Niashitushwa sana -- maana bila shaka yoyote ni uamuzi uliotolewa na kikao cha kamati Kuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna Story nimeipata kwa rafiki yangu naomba tuijadili kwa maslahi ya Taifa letu lenye rasilimali nyingi lakini ni masikini wa kutupwa. Nikiwa kati ya WATU waliohudhuria mikutano ya kampeni hasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"The First Lady is, and always has been, an unpaid public servant elected by her husband."
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kitendo kilichotokea juzi pale uwanja wa taifa wakati wa mechi ya taifa stars na morroco kinanifanya nijiulize maswali ambayo yananirudisha nyuma kabisa na kutaka kujua kazi za shimbo kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kumsafisha bwana Oriwo; mkurugenzi wa synovate. Majibu yao ni ya kweli kuwa 61% ya watanzania watampigia kura Kikwete. Hata hivo majibu yao sio halisi... wamepigwa changa la macho...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JE RUSHWA NI NINI? Mwaka huu, takukuru walitoa bango ambalo nilibahatika kulisoma limetoa tafsiri ya Rushwa katika uchaguzi kama ifuaatavyo. utoaji wa fedha Utoaji wa T-shirt Vitu vya thamani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
sambaza ujumbe huu uwafikie wapiga kura wote waliopo Tanzania. Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ningefurahi sana, na natamani sana kusikia tamko la Mama yetu aliyebeba Bendera ya Tanzania ktk Umoja wa mataifa, Dr Asha Rose Migiro, kuhusiana na uchaguzi unaotukabili wiki chache zijazo. Nasema...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati REDET na Synovate wanaita waandishi wa habari na kutangaza "utumbo" wao kwa watanzania, nimekuwa nikijiuliza kwa nini JF nasi tusiwaite waandishi wa habari na kuwatangazia matokeo ya kura...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF, napenda kupata ufanuzi kuwa je waziri mkuu wa Tanzania anatoka katika chama chenye wabunge wengi bungeni au? Je Dr Slaa akishinda urais na ccm ikawa na wabunge wengi, je itamlazimu ateue...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Salama , Nimatumaini yangu ya kuwa wewe ni mzima kabisa na unaendelea na shughuli kama kawaida,Mkuu nilikuwa ninakuomba utuwekee tangazo letu letu hili la kikao cha shina hapa Reading,99% ya watu...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari za leo wakuu, jana nilihojiana na baadhi ya wana jamii wenzangu ili kubaini kwannn watu wenye sifa za kupiga kura lakn hawapigi kura. Wametoa sababu zifuatazo:- Mmoja amedai NEC inalipa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mfanyabiashara acharangwa mapanga katika vurugu za siasa NA MWANDISHI WETU 11th October 2010 Vurugu zinazohusishwa na masuala ya kisiasa zimezuka katika mji mdogo wa Malampaka uliopo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Synovate siwaelewi kabisa kwa ili, naomba wana-JF mnisaidie! Wamesema asilimia 84 wana imani na JK, asilimia 78 JK ni mtendaji mzuri, halafu asilimia 61 watamchagua JK 31 Okt 2010. Maswali: je...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nafikiri Mgombea wa Urais kupitia chama cha CCM wanamshauri vibaya ili apate wakati mgumu kwenye kusaka kura. Kasi yake ya kuchukua madeni ya Vyama vya Ushirika ambavyo chanzo chake kikubwa ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kikwete! Miaka mitano madarakani hujafanya lolote zaidi ya kuanguka majukwaani Miaka mitano madarakani hujafanya lolote zaidi ya kwenda ughaibuni kuhemea pesa za matibabu ya maradhi yako ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia jinsi vyama vyetu vinavyofanya kampeni zake, hususan jinsi ya kuwafikishia wananchi, wapiga kura, taarifa mbalimbali zipo njia nyingi lakini moja ni ile ya kutumia vyombo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani hali ya hewa ni mbaya sana kwa sisi m hata vijijini. Hivi sasa nipo Kagera kwenye msiba na nipo eneo linaitwa Izibya ni Bukoba vijijini. Hapa ni usiku na tupo watu wengi kulala hapa...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…