'CCM yampa meno Shimbo' laandika Mtanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'CCM yampa meno Shimbo' laandika Mtanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Oct 12, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Jamani, nimeiona hii headline katika gazeti la fisadi papa RA MTANZANIA leo hii: 'CCM yampa meno Shimbo.' Niashitushwa sana -- maana bila shaka yoyote ni uamuzi uliotolewa na kikao cha kamati Kuu ya CCM kilichokutana Ikulu siku ya Jumapili iliyopita. Sijaisoma stori yenyewe kwani huwa sinunui hilo gazeti, lakini nilishtushwa sana na hiyo headline.

  Hivi kumbe kweli Shimbo anatumiwa na CCM? Anafanya kazi kwa amri ya, nakwamasilahi ya CCM? jamani sasa naamini tumekwisha, hasa ikizingatiwa kwamba wanaodhamiria kumrudisha JK Ikule ni RA-Subhash-Manji clique -- watatu hawa wanawaendesha wana-CCM kwa pua!!!!
   
Loading...