Elections 2010 Kikwete Uso Mkavu Huna Haya

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Kikwete!

Miaka mitano madarakani hujafanya lolote zaidi ya kuanguka majukwaani

Miaka mitano madarakani hujafanya lolote zaidi ya kwenda ughaibuni kuhemea pesa za matibabu ya maradhi yako ya kuanguka-anguka

Miaka mitano ya ufisadi uliokithiri na sasa unarudi kutuomba kura tena kwa kuwatukuza mafisadi mbele ya macho yetu

Miaka mitano ya kujenga magofu ya shule za kata bila walimu, vitabu na maabara

Kikwete unarudi tena. Unataka kura. Kwa mtindo wa kutumia nguvu ya Dola.

Kikwete hakika wewe ni dikteta.

Unacheke-cheka lakini una roho mbaya kama nini!!

Sikupendi Kikwete!!

Fanya ufanyalo. Mwaka huu hautarudi Ikulu ya Tanzania. Au hata kama utarudi, lazima utarudi kwa gharama ya maisha ya Watanzania wasio na hatia na hautadumu miaka yote mitano safari hii.
 
Anajua udhaifu wa watanzania,na kinachofanyika ni kutumia udhaifu huo kuendelea kutawala!
 
Back
Top Bottom