Elections 2010 PCCB -Mgombea Udiwani wa CCM Sinza anagawa hela pale kituo cha taxi Sinza Mori

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,508
6,146
PCCB fanyia kazi hili suala haraka...Mgombea wa Udiwani Kata ya Sinza kupitia CCM-Salim Mwaking'inda asubuhi hii amepita kitua cha taxi pale Sinza mori na kugawa sh 1000 kwa kila dereva wa Taxi pale..

PCCB fanyia kazi sual hili haraka nimekosa number zenu ningewapigia haraka sana
 
Kigogo, siku nyingine tembea na kamera na ukiweza mpige picha au umrekodi maongezi yake. Hapa ndipo tuna mmiss Nd Muro angewaaumbua watoa rushwa kama hao!!!
 
Kigogo, siku nyingine tembea na kamera na ukiweza mpige picha au umrekodi maongezi yake. Hapa ndipo tuna mmiss Nd Muro angewaaumbua watoa rushwa kama hao!!!

yaani najilaumu kwa nii sina simuya kamera ..yaani taxi niliyopanda driver kapewa buku nimeona kwa macho yangu...na anasema kabisa chagua mimi udiwani sinza...khaaaaaa
 
Back
Top Bottom