Elections 2010 Mgombea ana washauri kweli?

mujusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2010
237
58
Nafikiri Mgombea wa Urais kupitia chama cha CCM wanamshauri vibaya ili apate wakati mgumu kwenye kusaka kura. Kasi yake ya kuchukua madeni ya Vyama vya Ushirika ambavyo chanzo chake kikubwa ni utawala mbovu na wizi wa viongozi wao itasaidia kuleta chachu katika kuinua uchumi wa taifa hili?
Kwa nini hizi pesa zitakazoenda lipa madeni ya watu waliokula zisiende kusaidia wale watoto wa shule wanaokalia mawe madarasani huko pembezoni mwa nchi.
Lakini la pili hizi pesa za kulipia madeni ya vyama vya ushirika zinatoka zinatoka kwenye mfuko gani na mchango wake kwenye GDP utakuwa nini na vitaendelea kubebwa mapaka lini?
Mimi sio mchumi lakini wana jamii naomba msaidie kwa vile viongozi nao wanasoma hii forum naamini haitakuwa na positive effect kwenye pato la taifa ukimpa mtu pesa bila yeye kuzalisha hakuna ongezeko kwenye Ukuaji wa uchumi.
 
NaKKUNGA MKONO, RAISI JK ATAFUTE WASHAURI WAZURI, HATA PROFF BAREGU ANAWEZA KUMPA USHAULI MZURI SAAANA ASIWAFUATE VILAZA WAKE WAKINA MAKAMBA NA KINANA!
 
Back
Top Bottom