Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa kweli ni mda mrefu TBC1 haishiki huku moro hata kwa kutumia dish la satelite...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, REDET walichakachua tathimini ya utafiti walio ufanya yakuwa JK alikuwa anaongoza kwa kura za maoni na kumbe ukweli huwa haujifichi jamani ni kuwa Dr. Slaa alikuwa anaongoza na JK...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, nimetazama taarifa ya habari saa 2 usiku tbc, wameonesha dr slaa alivyoiteka mwanza Jana. Ule Imati unaashiria jambo, hasa ukizingatia punde tu walikuwa wamepigwa mabomu ya machozi...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
shukrani kwa HABARI NI HABARI NDUGU YANGU
0 Reactions
3 Replies
2K Views
At 5pm EST Friday 22nd October 2010 WikiLeaks released the largest classified military leak in history. The 391,832 reports ('The Iraq War Logs'), document the war and occupation in Iraq, from...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CCM wanaswa wakinunua shahada - Tanzania Daima Wakutwa nazo 180 WAKATI juhudi za kuliokoa Jimbo la Bukombe ambalo liko katika hatihati za kunyakuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Akionyesha kumuunga mkono mgombea wa CHADEMA Ubungo (John John Mnyika), waziri wa zamani na mbunge wa Ubungo Mh Keenja amesikitishwa na habari ya kuwa alinunua jimbo la Ubungo akiwa maeneo ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TAMKO LA TAHLISO KWA UMMA KUTAARIFU JUU YA UPOTOSHWAJI WA HABARI ZINAZOHUSU UPIGAJI WA KURA KWA WANAFUNZIWA VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA. UTANGULIZI: TAHLISO ni umoja huru wa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Tukiwa tunakaribia siku ile ya uchaguzi mkuu, ninawiwa kuwakumbusha ndugu zetu polisi na wanajeshi wa majeshi yote kuwa wao pia ni watanzania. Siku ile wasije wakakubali kutumiwa kwa faida ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viongozi wa vyama vya siasa wamepinga vikali Kamati ya Kuangalia Uchaguzi Tanzania (Temco) kuruhusiwa kuwa mwangalizi wa ndani wakati wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 31 na kuitaka Tume ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MAKE YOUR OWN MIND...AGE VS MINDSET AND VISION WHY AFRICA IS 25 YEARS BEHIND THE DEVELOPED WORLD..... AFRICAN LEADERS Abdulai Wade (Senegal) age 83 Hosni Mubarak ( Egypt ) age 82...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba nitumie jukwaa kuwashukuru watu wa Karatu kwa kutuleta mkombozi. Wanampenda sana walisikitika wakati alipotangazwa kugombea Uraisi. Lakini wakakubali kwa kuwa wanatamani na waTz waonyeshe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Lilian Lugakingira, Bukoba HALMASHAURI ya CCM, Wilaya ya Bukoba mjini, imewasimamisha kushiriki katika kampeni za chama hicho, viongozi watano, akiwemo mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT)...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
NDUGU WANAJF, KESHO TUKACHECK MAJINA YETU ILI TUHAKIKI KABISA NA SIKU YA KUPIGA KURA TUWAHI MAPEMA SAA 6AM IKIBIDI ALIFAJILI NA HAKUNA KUCHOKA TWENDE NA MAJI KABISA, MWANZO MWISHO. JAMANI...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ilikuwa majira ya saa 10:30 mchana alitua na Helkopta kama kawaida. Alizungumzia mambo ya msingi yatakayofanyika siku Chadema itakapoingia madarakani: 1. Kushusha bei ya vifaa vya ujenzi ili...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
ALIYETOA TAARIFA ZA KUWEPO KWA NYARAKA BANDIA ZA KUPIGIA KURA MKOANI MBEYA AKAMATWA NA KUFIKISHWA MAHAKAMANI Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,Kamishna Msaidizi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Slaa: I won't stick to NEC's time limit Friday, 22 October 2010 08:41 By Frederick Katulanda, Citizen Correspondent Mwanza. Chama Cha Demokrasia na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama nilivyosema kuwa JK alichoahidi sio sera yake ni mpango wa Mfuko wa jamii NSSF ushahidi ni gazeti la TumainiLetu ukurasa wa tatu habari iliyobeba kichwa cha habari NSSF KUMALIZA TATIZO LA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakika mambo yote yatapita lakini Neno litasimama. Imeandikwa "Siku za mwisho wataibuka manabii wa uongo" Hivi karibuni, kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya JK aliibuka msanii mmoja na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom