Dr. Slaa arudi tena Mbulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa arudi tena Mbulu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Gurtu, Oct 21, 2010.

 1. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ilikuwa majira ya saa 10:30 mchana alitua na Helkopta kama kawaida. Alizungumzia mambo ya msingi yatakayofanyika siku Chadema itakapoingia madarakani:
  1. Kushusha bei ya vifaa vya ujenzi ili wananchi wajenge nyumba za maana.
  2. Elimu: Tunapofungua milango yetu kuhusu ajira na huku Watanzania tukiwa nyuma kielimu ipo siku tutashangaa afisa mtendaji wa kata atatokea Uganda.
  3. Kupunguza gharama ya uendeshaji wa Serikali: Yeye kama rais atapunguza bajeti ya nyumba ya rais, atatembelea Landcruiser la thamani ya milioni 100 badala ya shangingi la milioni 200 ili aokoe milioni 100. Alisema kuwa ni muda wa serikali kukaza mkanda na wananchi kulegeza mikanda.

  Kwa kifupi watua walijaa uwanjani huku Dr. Slaa akitumia dakika kama 30 na hatimaye akaelekea Endabsh hadi Karatu na kabla ya hapo alikuwa akitokea Dongobesh
   
 2. M

  Mchungaji Ritch Senior Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  safi sana ukipata picha tupe pia
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  picha tafadhaliiii
   
 4. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nilishindwa kuambatanisha picha. Pia naomba kufanya marekebisho katika neno"Dongobsh".
  Badala yake ni Dongobesh.
  DSCN4208.JPG


   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 6. tartoo

  tartoo Senior Member

  #6
  Oct 22, 2010
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kuwa huko Kwermusl (mbulu ndani ndani) na irqoor da'aaw wananchi wanapiga yowe pindi wamwonapo Marmo akipiga kampeni.

  Vipi Akonaay [Chadema] atampuzisha Marmo?

  Tujuze plz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Ahsante Gurtu kwa kuweka picha ya Dongobesh. Heri ninyi Mkoa wa Manyara kwa vile mmeuchukia ufisadi. Hakuna shaka kura za Dongobesh zitaenda kwa Dr. Slaa, Mh. Akunaay na Diwani Siasi
   
 8. K

  Kikwebo JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2010
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 352
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Duuh! Mbulu tena.!? Yani mikoa mingine amesusa? Mie nilidhani kwama alipokuwa Kilimanjaro angeunganisha Tanga ,Zanzibar na Pemba..ama kweli nyumbani ni nyumbani.
  Au ndio ile ya Chagua mtu na sio chama na kwa kuwa watu wa '' sampuli yetu'' hawako wengi kwenye sehemu ya kaskazini ile ya Tanzania
   
 9. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hivi unafanyaje picha zikue hivi? Niki attach mara nyingi zinatokea kiduchu!
   
 10. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145

  Heri ungerekebisha ukaiita 'Dung'wabesh' maana ndiyo jina orijino.
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  Thank you the Almighty God for listening to our plight.....we have suffered too much........we have endured unnecessarily too much..............now it is our turn to move on and turn the page into a new direction away from CCM cheaters.............................
   
 12. LOGARITHM

  LOGARITHM JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Kwa mwendo huu DR. SLAA atavuna 90% ya kura zote za uchaguzi mwaka huu. Chama kilichokuwa kikidumu kimeufikia mwisho wake!
   
 13. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hali ya CCM ni mbaya sana jimbo,
  Marmo hajitokezi kabisa hadharani.

  Kesho naenda kijijini haydom, nicheki upepo wa kisiasa.
   
Loading...