Why africa is 25 years behind the developed world..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why africa is 25 years behind the developed world.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jethro, Oct 22, 2010.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  MAKE YOUR OWN MIND...AGE VS MINDSET AND VISION


  WHY AFRICA IS 25 YEARS BEHIND THE DEVELOPED WORLD.....

  AFRICAN LEADERS
  Abdulai Wade (Senegal) age 83
  Hosni Mubarak ( Egypt ) age 82
  Robert Mugabe ( Zimbabwe ) age 86
  Hifikepunye Pohamba ( Namibia ) age 74
  Rupiah Banda ( Zambia ) age 73
  Mwai Kibaki ( Kenya ) age 71
  Ellen Johnson Sirleaf ( Liberia ) age 75
  Colonel Gaddafi (Libya) age 68
  Jacob Zuma (South Africa) age 68
  José Eduardo dos Santos age 68
  Bingu Wa Mutharika (Malawi) age 76
  ____________ __________________
  Average Age: 75.6 ~ Approximately 76 years
  ____________ __________________

  THE FIRST WORLD LEADERS
  Barrack Obama (USA) age 48
  David Cameron (UK) age 43
  Dimitri Medvedev (Russia) age 45
  Stephen Harper (Canada) age 51
  Julia Gillard (Australia) age 49
  Nicolas Sarkozy (France) age 55
  Luis Zapatero (Spain) age 49
  Jose Socrates (Portugal) age 53
  Angela Merkel ( Germany ) age 56
  Herman Van Rompuy ( Belgium ) age 62
  ____________ __________________
  Average Age: 51.1 ~ Approximately 51 years
  ____________ __________________

  DIFFERENCE: 25 years
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  ona huyu, na bado anataka:

  Egyptian President Hosni Mubarak will stand for re-election next year despite rumours about his health, a senior ruling party official has said.
  "The National Democratic Party (NDP) candidate will be President Hosni Mubarak," the party's media chief Ali Eddin Hilal told Alhurra TV channel.
  Mr Mubarak has been in power since 1981. He will be 83 years old when the election is held next October.


  BBC News - Home
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  He is supported by Americans & Jews..hakuna wa kumuondoa hapo..labda kifo.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kwa upande mwingine umri nadhani sio hoja..cha msingi ni kuwa na kiongozi bora. Kiongozi bora anahitaji awe binafsi walau anajua dunia ilipo sio limbukeni ambaye atashangaashangaa kila kitu, pia awe walau na maono yake binafsi na na kipawa cha kumanage watu especially kuunda timu nzuri ya washauri..sio asskissers.
   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mkuu hujachagua wazee tu Afrika na vijana tu Ulaya? Akina Kikwete na akina Kagame walio kwenye 50's hawamo kwenye sample yako.

  Mimi sidhani kwamba umri wa viongozi ndio hasa issue kubwa inayosababisha kutokuwa na maendeleo ya kasi.

  Ofcourse wanaozidi 80s kama akina Mugabe mara nyingi huwa senile, lakini kwani dunia ya kwanza si wapo pia?
   
 6. M

  Magehema JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  There are several reasons, however what you mentioned might be one of them
   
 7. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  The Truth tells itself....where is the position of Tanzania in the list? Read this partial story from the International Mineral Revenue Transparency Watch!

  Mineral revenue secrecy fails Dar in global ranking
  Tuesday, 19 October 2010 07:53 digg

  By Alvar Mwakyusa

  Tanzania has scored poorly in an international survey on mining revenue transparency.

  The Revenue Watch Index 2010 places Tanzania 37th among 41 countries that were surveyed. The Revenue Watch Institute and Transparency International conducted the study between November 2009 and April, this year.

  Tanzania scored 27.8 points out of a possible 100 points. Brazil tops the rankings on 97 points.

  Tanzania exported 38.1 tonnes of gold worth $1.4 billion (Sh1.96 trillion at current exchange rates) between July 2009 and July 2010, accounting for about 43.5 per cent of total exports, according to the latest Bank of Tanzania monthly economic report. However, tax from these exports is not known as public disclosures have not been made mandatory.
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  NI kama MUGABE nadhani wanataka wazikwe IKULU!
   
 9. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Point nzuri. Viongozi wengi wa kwanza katika nchi nyingi za kiAfrika walichukua nchi wakiwa vijana, kati ya 40 na 55, na waliboronga big time. Nchi ikiwa haina history ya Excellence kuboronga ni kitu cha kawaida tu.
   
 10. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Old school:frusty:
   
 11. M

  Mkandara Verified User

  #11
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Actually those mentioned African Countries are doing much much better than the rest....

  Again, leadership in developed world is like operating a Pc loaded with software while in Africa we tend to rely on human ability and experience (jembe la mkono). Believe me, very few African President have a clue how stock market (wallstreet) works?..
   
 12. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Mkandara:

  How stock market works is a far fetch analogy. Let's start with simple things.
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sababu hao viongozi wetu mpaka leo wanatoa visingizio vya UTUMWA na UKOLONI kama sababu ya msingik kwa nini sisi ni UNDERDEVELOPED. sababu za msingi zauongozi bora hawazisemi na wanafunzi hawafundishwi kuchallenge decision za kisiasa.

  Developed countries nao wanatudanganya na viongozi wetu wanakubali kuwa sisi ni DEVELOPING countries .kitu ambacho inatakiwa wajue kuwa we are note developing contries we are UNDERDEVELOPED.

  Sasa kwa nn tuko underdeveloped hizi ni fact


  • Hicho kitabu kimeandikwa 1983 naamin hata kina kikwete na mkapa walikisoma
  Sasa hawa mafisadi wanaiba hela na bado hawainvest kwenye kilimo. pesa za chenge kwa nn asingenunua RANCH? Mara kumi ya Sumaye aliyefanya usanii wa kuwekeza kwenye kilimo kiasi kuliko wanaotaka tuwaone wasafi kumbe pesa zao ziko geneva.

  Huo mfano wa idadi ya wabunge angalia zenj ratio ya mbunge per wananchi. anao represent. Nahata kama wanach ni wengi sisi matatizo yetu ni common. ELIMU, AFYA, MIUNDOMBINU,KILIMO. kila mkoa wabunge wa4 wanatosha

  Spika sita ofisi yake ya ubunge anawekewa samani za ulaya wakati mkoa wa tabora una misitu.mkoa wa tabora una mafundi seremala wanaoweza kutengeneza viti vya kukalia japo wageni.

  Uliza katika wabunge wotewa CCM na upinzani ni yupi anashonesha suti kwa fundi kukuza ajira jimboni kwake au tanzania??? wote wanataka suti zenye label za italy. Alafu bungeni wanajadili juu ya kulinda bidhaa za kitanzania. yaani inakera sana
   
 14. M

  Mkandara Verified User

  #14
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  For that, why compare their Presidents with Africans!
   
 15. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #15
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Sikiliza;

  Reagan alikuwa rais mzee kuliko marais wote wa marekani kiasi kuwa Nyerere alipostaafu na miaka 63 alikuwa ni mdogo kwake, lakini anakumbukuwa sana kwa kuwaongoza wamarekani kwa kuwapa matumaini sana na nguvu sana kitaifa. Hata Baraka Obama alisema anataka kutawala kama Reagan.

  Kwa hiyo umri unaweza usiwe ishu kubwa sana katika uongozi.
   
Loading...