Redet walichakachua tathimini walizotoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Redet walichakachua tathimini walizotoa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jethro, Oct 22, 2010.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  REDET walichakachua tathimini ya utafiti walio ufanya yakuwa JK alikuwa anaongoza kwa kura za maoni na kumbe ukweli huwa haujifichi jamani ni kuwa Dr. Slaa alikuwa anaongoza na JK akafuatia, Na tathimini hizo zilipelekwa IKULU kama zilivyo na baadae jopo hilo la REDET lika kaa na kuchakachua matokeo hayo na kumpa JK ushindi.

  Mbaya zaidi ni matokeo ya Zanzibar, CCM kule ilibwagwa kwa aibu kubwa sana na REDET kwa makusudi kabisa yaliyoamliwa na kuto tangaza hizo tathimini za kutoka Zanzibar, kwanini? nikwa ajiri ya kuepusha shari na kufuata utaratibu ambao tiyari ulisha wekwa wa serikali yao ya kuunda serikali ya pamoja na upinzani.
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sasa walitumwa na Ikulu kwa nini wapeleke Ikulu badala ya kujilpua
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  we wadhani nani mwajili wao? na wengi wao waliofanya hiyo kazi walikuwa lecturer wa vyuo vikuu vya serikali nadhani hapo umenielewa.
  wangeyalipua tu yangewalipukia wao khaaa

   
 4. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Source please?
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yes,but how should we trust you?source please
   
Loading...