Kuhakiki majina ya vituo na jinsi ya kupiga kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhakiki majina ya vituo na jinsi ya kupiga kura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kisendi, Oct 22, 2010.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  NDUGU WANAJF, KESHO TUKACHECK MAJINA YETU ILI TUHAKIKI KABISA NA SIKU YA KUPIGA KURA TUWAHI MAPEMA SAA 6AM IKIBIDI ALIFAJILI NA HAKUNA KUCHOKA TWENDE NA MAJI KABISA, MWANZO MWISHO.

  JAMANI TUMECHOSHWA NA AHADI HEWA NA AMBAZO WENZETU HAWATATEKELEZA.

  CHADEMA ZINATEKELEZEKA SIO KILA AHADI UNATEGEMEA WACHINA, WAJAPAN N.K WAKIGOMA. WHY NOT KUTUMIA KILICHOPO AT LEAST 70% UKAITUMIA THEN HATA 30% UKIOOMBA TUNAONA RWANDA NA KENYA, SIMPLE

  TUSIPOBADILIKA GHARAMA ZILIZOTUMIKA TUTAZIRUDISHA CC WENYEWE, MAFUTA YATAPANDA MPAKA 2500 per lita, MAEGESHO YATAPANDA MPAKA 1500, TUJIFUNZE.

  Let us think on this opinion.
   
 2. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2010
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Elimu ya uraia mwaka huu imefanya kazi kwani hata waliohongwa na hata watakaohongwa tayari wanajua hongo yao haiwaondolei shida za kudumu. Na hata CCM wanajua hawana uwezo wa kuwahonga wote na sasa subirini muone maajabu mwaka huu. Amin usiamini wale unaowategemea ndiyo watakaoiangusha CCM.
   
 3. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Bila kusahau kubaki umbali wa mita kadhaa kutoka kituoni kulinda mtu yeyote asiyehusika na uchaguzi kutoingia kituoni.Ni siku moja tu,hata kama matokeo yatatangazwa saa kumi usiku ni kusubiri tu.Siku hii ni ya thamani sana,tukicheza kidogo tu tutalia miaka mitano.

  Tuhamasishane kujitokeza kwa wingi kupiga kura.Tuwaambie watu "kura hazitaibwa,tutakuwepo pale mpaka matokeo yatangazwe.."maana wengine huwa hawapigi kura kwa sababu wanajua hata wakipiga ni kazi bure kwa kuwa kura zataibwa tu.
   
 4. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Yaa mkuu mpaka kieleweke safari hii!
   
Loading...