Manabii Wa Uongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manabii Wa Uongo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Oct 22, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Hakika mambo yote yatapita lakini Neno litasimama.

  Imeandikwa "Siku za mwisho wataibuka manabii wa uongo"

  Hivi karibuni, kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya JK aliibuka msanii mmoja na kujitambulisha kuwa yeye ni Mchungaji na kuanza kujinasibu mbele ya kipaza sauti na kamera za TBC kuwa JK ni Chaguo la Mungu. Hatudanganyiki.

  Kama hiyo haitoshi, hivi leo, Mchungaji Sylvester Gamanywa (na Sheikh mmoja) ameingia katika orodha ya watu wanaotumiwana JK kwa kuwasihi watu wasichague mtu kwa hisia za udini.

  Swali:

  Hawa manabii wa uongo (Gamanywa na wenzake wanaojipendekeza), wameuona Waraka wa Waislamu? Wasitughilibu. Tumechoka.

  Nitamchagua Slaa kwa hisia zozote.

  Wala sihitaji Mchungaji kunielekeza kuwa JK hafai tena kuiongoza Tanzania.
   
Loading...