Nilisema Machinga complex ya NSSF ushahidi huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilisema Machinga complex ya NSSF ushahidi huu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Wa Ndima, Oct 22, 2010.

 1. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kama nilivyosema kuwa JK alichoahidi sio sera yake ni mpango wa Mfuko wa jamii NSSF ushahidi ni gazeti la TumainiLetu ukurasa wa tatu habari iliyobeba kichwa cha habari NSSF KUMALIZA TATIZO LA UMEME ndani kuna full stori ya mkakati huo wa muda mrefu wa kujenga majengo hayo na barabara ya kulipia dar mpaka chalinze, daraja la kigamboni, vituo vya mabasi
   
Loading...