Kama hauifahamu sera halisi ya CCM ambayo inatekelezwa kwa vitendo ni hii hapa "
... mpaka sasa wanaendelea kudanganya wananchi kwamba sera ya CCM bado ni ya Ujamaa na Kujitegemea (Nyerere, 1993...
Mimi ni mwanachama hai wa CCM na nimpenda maendeleo, sibaki kushabikia chama na kaucha maendeleo ya nchi nyuma. Nimebadirishwa mawazo kwa kiasi kikubwa na Dr. Slaa kwenye mdahalo wa ITV nasema ili...
Jamani hii stori nimeikuta kwenye gazeti la Mwanahalisi. Hii habari ni ya kweli kutokana na interviews za wahusika. Kweli hii ni fedheha, sasa ndo nimeona ni kwa nini CHADEMA hawakutaka muungano...
Chama Chetu kimeshikwa pabaya sana mwaka huu, huwezi amini kama Kikwete na Kamati kuu ya Chama Jana walikaa 2 hours wakimsikiliza Dr. Slaa Live. Rafiki yangu wa ndani sana kwenye system...
Wana CCM wote, wenye uchungu na nchi yetu, wanaotafunwa na Umasikini, nawaomba na tena kuwasihi, kumpigia Kura Dr. Wilbrod Peter Slaa. Mimi ni mwana CCM wa Damu, lakini sidanganyiki kwa kumpigia...
WAZIRI Benard Membe leo alikuwa na wakati mgumu kuwabembeleza viongozi wa madhehebu na Dini za Kikristu pale alipokuwa akifanya nao kikao kuwasii wasimchukue JK na kupuuza uvumi unaoenezwa na...
armed soldiers of the tanzanias people defence forces (tpdf) have been deployed to guard all sensitive areas in the indian ocean archipelago of zanzibar ahead of the october 31 election next...
Mtumishi wa mungu leo alikuwa uwanja wa shule ya msingi gangilonga-Iringa na kitu cha kwanza kabala ya kuanza somo lake la Mzaliwa wa kwanza.
Aliwaomba watu kuuombea uchaguzi ujao,na akawaomba...
Katika hali isiyo ya kawaida wazee wa kijiji cha zegero wilayani kisarawe wamemuomba kada mmoja wa chadema amshauri dr slaa amwachie raisi dakta kikwete amalizie kipindi chake cha pili,wazee hao...
Baada ya kumsikiliza kwa makini Dr. Slaa jana na kukumbuka harakati zake za kuwakomboa watanzania kuanzia bungeni, watanzania hatuna mengi ya namna ya kumuelezea Dr. Slaa bali kusema anawapenda...
Nashauri Meneja wa kampeni wa Chadema na timu mzima ya mapambano ya kukomboa Tz, kufanya jitihada kubwa ya kusambaza haraka iwezekanavyo ndani ya hizi siku sita zilizobaki CD/video ya mahojianao...
MY TAKE
These two need to join hands right now kabla ya jpli for our nations sake.Am sure Lipumba will be useful kwenye masuala ya uchumi chini ya serikali ya CHADEMA
Kinyume na makubaliano kati ya vyama vya siasa na NEC katika dakika za lala salama kuelekea uchaguzi NEC wamegoma kuwalipa mawakala na kuwatupia zigo hilo vyama husika.
Leo kiongozi mmoja wa NCCR...
Sababu kubwa inatokana na uaminifu wao, kwa mfano hili sakata la EPA,Wafanya Biashara wenya asili ya kihindi walitumiwa tu na vigogo wakubwa sana wa nchi hii na wahindi wakapewa percent yao tu...
Kinyume na ngebe za CUF na CCM kuwa wao ndiyo watagawana kura za huko taarifa za uhakika nilizozipata kwa wapenda maendeleo wa huko wangependa Dr. Slaa angalau afike makao makuu ya mikoa hiyo...
In trying to escape its political death, CCM is hitting lask kick of a dying horse before Tanzanians officially burry the party on 30th October 2010. CCM is very sure than ever that its heart is...
Zikiwa zimebakia siku sita kabla ya Watanzania kwenda kupiga kura za kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais kwa 2010 -2015. VITUO vya kupigia kura ni 51,800 nchi nzima, hii inamaanisha kila chama...
Katika kuonesha kuwa Makanisa mengi yako kibiashara zaidi, Kanisa la Pentekoste Kunduchi limepokea pesa haramu za kifisadi shilingi milioni ishirini kutoka kwa Mtanzania bandia Rostam Azizi huku...