Mwalimu Mwakasege Juu ya Uchaguzi wa Tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu Mwakasege Juu ya Uchaguzi wa Tz

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Njowepo, Oct 24, 2010.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mtumishi wa mungu leo alikuwa uwanja wa shule ya msingi gangilonga-Iringa na kitu cha kwanza kabala ya kuanza somo lake la Mzaliwa wa kwanza.
  Aliwaomba watu kuuombea uchaguzi ujao,na akawaomba wale wote wanaohusika kwa namna moja au nyingine kama mawakala etc wasimame na wakaombewa regardless of their parties.
  I call upon the rest of the Tanzanians to pray for our nations peaceful election ukizingatia Tz ni kimbilio la majirani zetu wanaopigana kila leo.
  Tukianza kuzichapa tutakimbilia wapi,tumrudie mungu katika ilo tuwe na uchaguzi wa amani
  Nimeipenda hii as alikuwa objective hakutaja chama wala mtu alikuwa general na alisisitiza kuwa hatuitaji kujua chama chako
   
 2. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  aaaimen
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,066
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  huyo ana njaa zinamsumbua Muumini mzuri haachi kutoa mwongozo kupinga rushwa yaani msisitizo wa waumini wasinunuliwe
   
Loading...