Najutaaa kumfahamu JK! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najutaaa kumfahamu JK!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paddy, Oct 23, 2010.

 1. Paddy

  Paddy JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Jamani wana JF, ni wangapi tuko pamoja ktk hilo??
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Nimenyoosha kidole hapa, si umeniona????
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mimi nimemchoka kwa uongo na kutowajibisha na kuwajibika kama mkuu wa nchi. wewe umejuuta kwa lipi?
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mimi najuta kumfahamu kwa sababu sijajua nia yake bado ya kuhutubia baada ya uchaguzi tena usiku wa kuhesabu kura.....hainiingii hii
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  CCM inaamini kuwa sisi ni wajinga na tunaburuzika
  Naungana na mwanakijiji kwamba itatangazwa hali ya hatari.
  Kutembea kwa masaa na style za kutembea tutafundishwa ili tusivunje sheria.
   
 6. Paddy

  Paddy JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  kanifanya maskini zaidi kuliko ilivyokua 2005, pia amepoteza direction ya kufikiria ya watz wengi, tunamhitaji Slaa aturudishe!!!
   
 7. Paddy

  Paddy JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  nimekuona mkuu, hicho kidole usisahau kukijaza wino.wa slaa pale 31/10
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  i doubt he will do that kwani atakua ameanguka
   
 9. Paddy

  Paddy JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Inawezekana huyu mshkaji maamuzi yake yote makubwa anapata 4rm rostam n lowasa. Tafakari...., chukua hatua!!!
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ....tena majuto yenyewe ya mjukuu kabisaaaaaa.
   
 11. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuhutubia siku ya uchaguzi siyo kuvunja sheria za uchaguzi? Au atatangaza kuwa hawezi kutoka madarakani hata kama wananchi wamemkataa? Je anataka kuwa kiongozi wa kidikteta wa kijeshi? Simwelei huyu mtu. Hana uwezo wa kuongoza kabisa kwa nini asilione hilo. Akubali kushindwa kwa amani, aishie zake.
   
 12. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ana mpango wa kutangaza kuwa kashindwa kura maana ameshashindwa hata kabla hajapigiwa kura.
   
 13. M

  Msharika JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  najuta kumfahamu kwani sikujua kama network yake inakata kata.
   
 14. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mie nilijuta kutoka 2005. Nilikuwa mpinzan mkubwa wakat weng wenu mnamshabikia. Nilifukuzwa hadi kijiwe since i was against him when he was popular
   
 15. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hana jipu la sehemu nyeti tulipasue?
   
 16. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wachonga vigoda siku hizi ni wachache, lakini hata kukalia kidole inaruhusiwa .... ruksaaaaa!
   
 17. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Hands up!..JK who?..That dude is a famous Tanzanian artist right?..Help please!
   
 18. P

  Paul S.S Verified User

  #18
  Oct 23, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Im so sorry to tell u that, u hate jk, lakini ataendelea kuwa rais wakao kwa kipindi kijacho
   
 19. Paddy

  Paddy JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  hata mimi simfahamu huyo jk, inawezekana ni mwenyekiti wa mtaa wa magogoni
   
 20. Paddy

  Paddy JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Pipooooooooooooooooooooooooooozzzzz!!!!!!!!
   
Loading...